The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Lack of unity in united dressing room!
Kwa ufahamu wangu nadhani hii meseji ni mahsusi kwa rashford na martial.Lack of unity in united dressing room!View attachment 1351921
MCHAMBUZI wa soka nchini England, Paul Merson anaamini straika mpya wa Manchester United, Odion Ighalo atamfukuzisha kazi kocha wake Ole Gunnar Solskjaer kama ataonesha kiwango kibovu ndani ya timu hiyo.
Manchester United waliinasa saini ya Ighalo kwa mkopo kutoka klabu ya Shanghai Shenghua ya China, pia, Merson alisema lilikuwa kosa kubwa kwa timu hiyo kushindwa kumsajili straika Erling Haaland ambaye alisaini Borussia Dortmund kutoka Salzburg.
“Kama Ighalo ataonesha kiwango kibovu, basi itakuwa safari kwa Solskjaer, Man United wanataka aingie kikosini na kuonesha uwezo kipindi hiki ambacho Rashford yupo nje kwa majeraha.
“Walifanya kosa kubwa kushindwa kumsajili Haaland, angalia anavyofanya Borussia Dortmund, kile ndicho wanakikosa Man United kwa sasa, angekuwa msaada mkubwa sababu bado mdogo,” alisema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kikosi kabla ya 2003. Mi nilikuwa nazungumzia kikosi kuanzia 2005 hivi.
Kuna mtu anaitwa Lukaku anachezea Inter Milan, nahisi hili jina nimewahi kuliona Man Utd!
Au nafananisha.
Ole ni Gambler na alicheza card ngumu sana kumuachia Lukaku hasa kipindi ambacho dunia inatafuta kwa tochi no 9 players.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumemwacha Mwalimu anafanya kazi yake pamoja na kujitutumua uwezo wake ni mdogo timu imemzidi anaendelea kuweka rekodiKila mtu anapenda kufanya kazi na watu anaowaamini kuwa watadeliver vivyo hivyo kwa Ole kumwachia Lukaku isiwe dhambi simply Lukaku anafunga sana huko Inter Milan.
Mbona Klopp alimuuza Coutinho na bado Liverpool ikafika Finali UEFA champions League mara mbili na kuchukua mara moja ?
Mbona Ferguson alimuuza David Beckham na Rud Van Nistrooy na bado akatengeneza timu imara bila hao watu?
Hivi Duniani striker bora ni Lukaku tu ? Hamumuoni Timo Werner? Haaland je ? Raul Jimenez? Hao wote wanaweza kuwa replacement ya Lukaku bila shida yoyote na wakadeliver kuliko Lukaku.
By the way Martial asingepata injury ya miezi miwili hope hata hivi vikelele vya Lukaku!! Lukaku!! Visingekuwepo.
Ole alikuwa anaamini Lukaku hawezi kudeliver katika mfumo wake that's why alimwachia aondoke.
Yawezekana tunampigia kelele Ole kumbe kosa liko kwa watoa maamuzi huko kama walivyoshindwa kumsajili Halland chaguo la kwanza la Ole wakatuletea Ighalo aliyeko quarantine mpaka sasa.
Tumwache mwalimu afanye kazi yake sisi tuendelee kula mtori nyama tutazifikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raul Jimenez with Wolves.Kila mtu anapenda kufanya kazi na watu anaowaamini kuwa watadeliver vivyo hivyo kwa Ole kumwachia Lukaku isiwe dhambi simply Lukaku anafunga sana huko Inter Milan.
Mbona Klopp alimuuza Coutinho na bado Liverpool ikafika Finali UEFA champions League mara mbili na kuchukua mara moja ?
Mbona Ferguson alimuuza David Beckham na Rud Van Nistrooy na bado akatengeneza timu imara bila hao watu?
Hivi Duniani striker bora ni Lukaku tu ? Hamumuoni Timo Werner? Haaland je ? Raul Jimenez? Hao wote wanaweza kuwa replacement ya Lukaku bila shida yoyote na wakadeliver kuliko Lukaku.
By the way Martial asingepata injury ya miezi miwili hope hata hivi vikelele vya Lukaku!! Lukaku!! Visingekuwepo.
Ole alikuwa anaamini Lukaku hawezi kudeliver katika mfumo wake that's why alimwachia aondoke.
Yawezekana tunampigia kelele Ole kumbe kosa liko kwa watoa maamuzi huko kama walivyoshindwa kumsajili Halland chaguo la kwanza la Ole wakatuletea Ighalo aliyeko quarantine mpaka sasa.
Tumwache mwalimu afanye kazi yake sisi tuendelee kula mtori nyama tutazifikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hizo stats za Jimenez uweke pia kwamba Jimenez kafunga magoli sawa na Martial huyo Jimenez akiwa na timu ndogo ya Wolves wakati Martial yupo timu kubwa akicheza na viungo wa bei ghaliRaul Jimenez with Wolves.
Match Played 73
Goals 24
Assists 13
Martial last 76 EPL Matches
Match played 76
Goals 26
Assists 10
Lukaku with Inter Millan Seria A.
Match played 23
Goals 17
Assists 2
Lukaku Epl with Man Utd.
Match played 96
Goals 42
Assists 13
Hapo unaona tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raul Jimenez with Wolves.
Match Played 73
Goals 24
Assists 13
Martial last 76 EPL Matches
Match played 76
Goals 26
Assists 10
Lukaku with Inter Millan Seria A.
Match played 23
Goals 17
Assists 2
Lukaku Epl with Man Utd.
Match played 96
Goals 42
Assists 13
Hapo unaona tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anapenda kufanya kazi na watu anaowaamini kuwa watadeliver vivyo hivyo kwa Ole kumwachia Lukaku isiwe dhambi simply Lukaku anafunga sana huko Inter Milan.
Mbona Klopp alimuuza Coutinho na bado Liverpool ikafika Finali UEFA champions League mara mbili na kuchukua mara moja ?
Mbona Ferguson alimuuza David Beckham na Rud Van Nistrooy na bado akatengeneza timu imara bila hao watu?
Hivi Duniani striker bora ni Lukaku tu ? Hamumuoni Timo Werner? Haaland je ? Raul Jimenez? Hao wote wanaweza kuwa replacement ya Lukaku bila shida yoyote na wakadeliver kuliko Lukaku.
By the way Martial asingepata injury ya miezi miwili hope hata hivi vikelele vya Lukaku!! Lukaku!! Visingekuwepo.
Ole alikuwa anaamini Lukaku hawezi kudeliver katika mfumo wake that's why alimwachia aondoke.
Yawezekana tunampigia kelele Ole kumbe kosa liko kwa watoa maamuzi huko kama walivyoshindwa kumsajili Halland chaguo la kwanza la Ole wakatuletea Ighalo aliyeko quarantine mpaka sasa.
Tumwache mwalimu afanye kazi yake sisi tuendelee kula mtori nyama tutazifikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unam-replace Lukaku na Jimenez?Kwanza Martial msimu wa Mourinho hakuwa regular starter na hilo unapaswa kuliangalia na hakuchezeshwa kama central striker.
This season wamekuwa central striker lakini injury zimemwandama.
Kingine mimi sikumlinganisha Martial na Lukaku nimekupa wachezaji watatu ambao wangeweza kuwa perfect replacement ya Lukaku.
Huyo Jimenez ni perfect striker kwa EPL ambaye anahitaji watu wa kumlisha vizuri tu na atafunga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app