What a way to start my new week!! Bravo Man U, wenye wivu mtuache!!
Mkuu kwetu unakupenda, si uhamie kabisa .😀😀😀😀😀
Mi nna wivu na lipstick tu hiyo.
Hongereni anyway.
Baada ya kufunga jana RVP ameshazifunga timu 15 za EPL zimebaki timu 4 QPR,Swansea,Norwich na Aston Villa aweke rekodi ya kuzifunga timu zote ndani ya msimu mmoja
Akimaliza hao 4 akamilishe kwa kupiga own goal
Unanikumbusha songi la nameless... "I envy ur lipstick venye inaku-caress hizo lips" Could I..could I..could I have this kiss forever.....halafu ni red sasa, wivu si unaongezeka??!!! Thanks mkuu, moto wetu si mdogo...siku njema!!
naona man u mko doria zamu mwaka huu, hamuachi kit kila kinachopita mbele yenu...buumu..fuumu..tuu
Ndoo yenu wazee wa kubebwa,tutayaona kwa Real.
Unanikumbusha songi la nameless... "I envy ur lipstick venye inaku-caress hizo lips" Could I..could I..could I have this kiss forever.....
....kwakweli manzi umebarikiwa,ndiyo mana tunaimba haleluyaa'' ..ha ha!! Niliupenda hilo songi, umenifanya niusikilize leo tena.
Vp lakini presha za Arsenal umeshazizoea?