Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Man utd 2-0 everton + man city + arsenal + chelsea
MANU sidhani kama kuna wa kuwasimamisha tena msimu huu. Sasa hivi ni kuwania tu nafasi ya pili, tatu na nne lakini EPL Champion for 2012/2013 season is already known.
Bora umeliona hilo, wapinzani wengine wameliona hilo pia lakini ni ubishi tu😀😀
Sub nyingine balaa kama Evans hajaumia hakukuwa na sababu ya kumtoa, sub ya beki huwa haina tija sana kwa timu
SAF anajua zaidi kuliko mfarisayo
I know it ana nia nzuri tu kwa ajili ya mechi ijayo ila sub za beki wakati mwingine ni noma kwa kuwa beki mpya anaingia bado damu haijachanganya vizuri so anaweza kujisahau na kuleta madhara