Kwa kikosi cha leo inaonekana Van Persie atabaki peke yake Mbele na Rooney itabidi ashuke chini zaidi kutafuta Mipira kwa kuwa Carrick na Johns watakuwa na kazi ya kukaba zaidi
Nasikia Manure matumbo joto chacha leo titaona kama zile bahasha zenu zinafanya kazi kwenye CL ... .... ..khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ati kuna jamaa anachema tuwe pamoja ooo ps na nani hatuwezi kujihusisha na mashoga ... ... .... phew!
Ushindi hapa naona unainyemelea manu!
miamba itaonekana mingi lkn mwisho wa siku.... Man U mtaijua tu.Dah....... Mwamba.....
miamba itaonekana mingi lkn mwisho wa siku.... Man U mtaijua tu.
Man Utd wana away goal.... na sasa wanweza hata kupaki Bus ili wategemee some few counterz........ UPUUUZI
Hawa RM ni wangese kinyama.........