Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu jamaa leo tena kafunga na lingine dissallowed. Mancini sijui atajieleza vipi?

556144_597275186954027_90856663_n.jpg


Kesha muuliza tayari
 
Tunatakiwa kuwa makini sana na mipira iliyokufa hawa jamaa wazuri sana kwa vichwa
 
Phill Jons ana haraka sana ya kukimbia mbele anaweza kutucost kwenye counter attacks
 
Dah!!! Kamburuza kipa toka mbali, kama anakosa vile kumbe anategea jamaa aingize mwenyewe
 
Kulikoni tena Big Phill anatoka huku anachechemea!! Bring on Anderson
 
Back
Top Bottom