Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Hata matic kawa vizur sana upungufu uliopo 7 na bissaka yule mzur kwa timu za kupak basi kushambulia ni sifur kama wanatafuta sare bissak mzur sana james bado hajawa poa martial mzigo shaw hawez kupiga cross timu nyingi zinazidiwa na liverpool upande wa bek mbili na tatu wale madogo wamechangia
Ushindi mkubwa sana hata ukiwabana wakina salah na roberto firmino wale madogo wanafungua njia sasa ukiangilia bissaka na shaw had dakika ya 88 ndo cross moja inapigwa dalot anakosa goli
 


Next stop, Stamford Bridge kwa wateja wetu
 
Dah..... Sijui hata nikikueleza utanielewa

Nishawahi kusema kwa mtazamo wangu, Pogba is 65%-75% complete midfielder,

Kwa hiyo ranking ya kiasilimia, sio mchezaji mbaya, ni mzuri, above average

Lakini hiyo haimaanishi kwamba, hakuna midfielders wengine (duniani) ambao ni 70%-80% au to 90%

OGS asingemng'ang'ania summer na tungemuuza na tungenunua mwingine nisingekuwa namuongelea kwenye kikosi chetu leo hii. Lakini kwa sasa ndio yupo kikosini lazima tumtumie, after all midfielder wa hiyo ranking ya 65%-75% sio mbovu kiivyo.

Kiufupi Pogba kama mchezaji, kama yupo tayari kujitoa kwa asilimia zote na akiwa na right attitude ana potential kufika hiyo asilimia 75 kiuchezaji lakini kwa bahati mbaya hana hiyo mentality

Narudia, kwa sasa Pogba ni moja kati ya most creative players tulionao kikosini (nimesema tulionao kikosini, sio duniani) , hivyo kumuweka pembeni akiwa fit ni kujichanganya

Mwisho Pogba ni mchezaji ambaye niseme ni aina wachezaji wenye nyota ya kuwa overhyped, Pogba, Gareth Bale ni aina ya wachezaji wenye majina makubwa kuliko uwezo wao. Pogba ni Kinyume cha wachezaji kama akina Kante, KDB, Firmino & Co.

Ikitokea mtu kashuka kutoka sayari nyingine akatajiwa Pogba anaweza kudhani ni level za akina CR7 au Messi au Hazard kumbe yupo nyuma yao sana kiuwezo
Kumbe unamwelewa pogba na umuhimu wake.... Wacha kumponda sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu eti kuna binadamu anamfananisha Martial na Raul Jimenez
Unapata wapi nguvu ya kuandika maneno mengi hivi ili hali timu yako haichukui ubingwa msimu huu?

Unajitesa bure

Fupisha stori:-_

Pereira - BOMU
Martial - Kilaza
James - waruwaru
Bruno - Safi


Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…