You are not serious.Upo serious kabisa hayo maneno?
-Kocha ambaye yupo responsible kwa trio ya Rooney/tevez/Ronaldo hajui kudevelop vipaji?
-kocha ambaye wakati yupo u23 ndio kikosi bora kabisa cha watoto miaka ya karibuni kikatoka kuanzia pogba, lingard, drinkwater, king, keane etc
-kocha aliembadili fred toka flop mpaka sasa ni fan favourite
-martial na rashford wote wapo kwenye form of their lives
-kocha alimtoa Haaland jalalani na watu kibao kumtabiria kakosea mpaka leo tunamuona super star
-kocha ambaye hata kabla Greenwood hatujamuona akifanya yake akasema Ni natural scorer ambaye hajawahi kumuona (anasema maneno hayo Rashford na Martial wapo kwenye form mwanzo wa ligi), na leo tunaona vision yake ilivyo accurate.
-mc tominay, wilson, james, lindelof wote wapo kwenye peak ya viwango vyao.
Wachezaji wachache sana utasema viwango vyao vimeshuka chini ya ole.
Bruno tumepigwa bhana kwa kiasi alichonunuliwa mechi yake ya kwanza alipaswa awe na Ratings za juu sana
TUMEPIGWA
Pamoja na kupangwa nafasi ambayo hajawahi kucheza? Au hujaona Bruno amecheza kama DM leo mkuu baada ya Pereira kuwa takataka katika hilo eneo? | |
So Fred out
So Fred out
Kama Ole atajaribu kumuweka Fred nje katika hali yoyote nitamuona kichaa zaidi. Naona kwa sasa baada ya ujio wa Bruno nafasi ya kiungo itakuwa na changamoto sana watakapopona Scott na Pogba. Maana hata huyo Mata siku hizi naona anacheza sana na anachangamsha sana timu sasa sijui ndio anaidai namba 10 yake. |
Sidhani kama ni shabiki mwenzenu huyo
HaahaaYani vile alivyocheza ndo alikuwa moto? Sasa siku asipokuwa moto anakuwaje huyo Pereira? [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unamwelewa pogba na umuhimu wake.... Wacha kumponda sasaNot good result, not bad result
Kwa kuangalia midfield iliyocheza, bado naona tumepata matokeo sio mabaya sana
Hayupo Matic, hayupo Tominay, hayupo Pogba. Hao wangekuwepo probably leo Pereira ambaye amecheza chini ya kiwango asingeanza. Nina uhakika tungefanya vizuri zaidi
Leo na siku zote tunazocheza na timu ambazo on paper tunazizidi huwa hatufanyi transition ya haraka ya mashambulizi pindi tunaponyang'anya adui mpira. Na hii ni style isiyomsaidia James kabisa
Martial amejitahidi kupambana lakini mipira mingi aliyopokea alikuwa akilipa mgongo goli la adui hivyo imekuwa ni ngumu sana kufanya jambo lolote
Bruno Fernandes, ambaye amefanya mazoezi jana tu na wenzake amecheza vizuri, sio sana lakini vizuri. Amepiga mashuti golini jambo ambalo tumekuwa tukishindwa kulifanya kwa mechi zetu nyingi. Pia amekuwa akijaribu kupitisha pasi (penetration pass). Kwenye kusaidia ulinzi ametimiza majukumu yake ipasavyo, not a bad debut.
Maguire solid as usual, Lindelof amecheza vizuri, Degea hakuwa bize sana lakini ametimiza majukumu yake, clean sheet kwenye mechi ya pili mfululizo. Inaonesha tunaizidi kuboreka kwenye ulinzi.
Wan Bissaka going forward bado sana, Wan Bissaka akiwa na mpira muda wowote anakosea. Wan Bissaka akikaba huwezi kuwa na wasiwasi. Wan Bissaka ana kazi ya kufanya
Waliobaki wamecheza vizuri. Sijui OGS aliwaza nini kumtoa Pereira na kuingiza Dalot wakati tunatafuta goli, nilidhani atamtoa Bissaka. Kwa mtazamo wangu sub ya Greenwood ilipaswa kuwa ya mapema zaidi, labda dakika ya 70, labda baada tu ya Adama kutoka
Twende kwenye mapumziko ya wiki 2 tukawatazame akina Lukaku wakifanya yao [emoji3][emoji460][emoji3]. Wiki mbili bila EPL ni nyingi sana.
Next stop, Stamford Bridge kwa wateja wetu. Ni matumaini Scot, Kirusi na Matic watakuwa wapo tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mashabiki hamfahamu nan atakaa benchi...
Kama Ole atajaribu kumuweka Fred nje katika hali yoyote nitamuona kichaa zaidi.
Naona kwa sasa baada ya ujio wa Bruno nafasi ya kiungo itakuwa na changamoto sana watakapopona Scott na Pogba. Maana hata huyo Mata siku hizi naona anacheza sana na anachangamsha sana timu sasa sijui ndio anaidai namba 10 yake.
Championship level playerstengeneza kichwa cha habari kisichozidi maneno manne
- mason mount
- callum hudson odoi
- daniel james
- andreas perreira
- matteo guendouz
- tammy abraham
Pereira na Matteo G waondoe mkuu.. Yabaki hayo matoto manne ya UKtengeneza kichwa cha habari kisichozidi maneno manne
- mason mount
- callum hudson odoi
- daniel james
- andreas perreira
- matteo guendouz
- tammy abraham
bruno sio no 10, sometime anacheza ila sio natural pale, anashine sana kwenye 3 man midfield, akiwa deep attributes zake ndio zinashine zaidi, fikiria kama Herrera mzuri zaidi.
Pamoja na kupangwa nafasi ambayo hajawahi kucheza? Au hujaona Bruno amecheza kama DM leo mkuu baada ya Pereira kuwa takataka katika hilo eneo?
Ratings hizi?Bruno tumepigwa bhana kwa kiasi alichonunuliwa mechi yake ya kwanza alipaswa awe na Ratings za juu sana
TUMEPIGWA
tengeneza kichwa cha habari kisichozidi maneno manne
- mason mount
- callum hudson odoi
- daniel james
- andreas perreira
- matteo guendouz
- tammy abraham
Ratings hizi?
Bruno Fernandes' Premier League debut for Man Utd against Wolves: 111 touches, 88 passes, attempted, 70 passes attempted in opp. half, 6 recoveries, 5 shots, 3 shots on target, 3 clearances, 2 tackles won, 2 fouls won
Weakness yake leo ni kwamba amechoka mapema, na hili linaeleweka ata improve kidogo kidogo, ila kwa mchezaji ambaye hata kutrain nawenzake vizuri bado amejitahidi sana.