Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nothing special..

Maguire atleast leo ameonyesha umwamba..

We were lucky kutokufungwa

Hivi Ile faulu kwa nini hakupiga Mata??
I agree bahati ilikua Upande wetu lakini defense yetu ilicheza kwa nidhamu ikawa kuna makosa kadhaa yangetucost.

Credit kwa waamuzi wasaidizi kwa umakini wao kuzimark zile offsides zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa amekupa facts wewe una ng'ang'ana na EGO zako tu dhidi ya Martial.
Mkuu unaongelea Martial huyu hataki hata jezi yake ichafuke, hataki kupiga mpira hata kichwa afro litavurugika, hataki kupata hata ka-yellow kamoja akiipambania timu, Martial huyu anaanza na kumaliza mechi 6 anafunga kagoli kamoja (tena kwa Tranmere)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimefurahi kumuona OGS akimkalipia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza

Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka kwel kwel

Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli (nafikir kamchoka brazamen Martial asiyetaka kuchafuka)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimefurahi kumuona OGS akimkaripia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza

Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka

Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli

Sent using Jamii Forums mobile app

Now Wanajua Fans hatucheki na mtu.
 
Jana nimefurahi kumuona OGS akimkalipia Lingard, sasa nafikiri kafaham dogo kilaza

Fred the red anakiwasha kila game, haijarishi iwe kubwa au ndogo, nimatumaini kurejea kwa Pogba + Scot na ujio wa fundi wa mpira Bruno pale kati kitachafuka kwel kwel

Pia nimefurahi jana OGS kasema anataiji striker ambaye yupo teyar avunjike pua ili ashinde goli (nafikir kamchoka brazamen Martial asiyetaka kuchafuka)

Sent using Jamii Forums mobile app
Martial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)

Kuna watu wanamlinganisha na Firminho anavyocheza false 9..aisee Firminho ni mtu mwingine
 
Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Sporting Clube de Portugal for the transfer of Bruno Fernandes.

The deal is subject to a medical and the agreement of personal terms.

A further announcement will be made in due course.
 
Martial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)

Kuna watu wanamlinganisha na Firminho anavyocheza false 9..aisee Firminho ni mtu mwingine
Mie nilitaka kuzimia Martial kufananishwa na Firminho ila kila mtu ana uono na uwelewa wake
 
Martial hawezi kutupeleka popote..hata tu-battle na mabeki mipira ya juu hafanyi,anafanya tu kuangalia..shenzi sana huyu jamaa..tusajili mchezaji anayeweza kufunga magoli kutoka kwenye kila angle(Header,tap in, Far shooting,battling n.k)

Kuna watu wanamlinganisha na Firminho anavyocheza false 9..aisee Firminho ni mtu mwingine
Jamaa fala yule... Bishoo sana hawezi purukushani.
 
Nanukuu alivyosema OgS

“Lose the ball one more time and you’re f*cking off!" ( Ole on Lingard )

Back
Top Bottom