Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#mufc are said to be preparing a £20m offer for Fenerbahce striker Vedat Muriqi before Friday's transfer deadline. #muzone [Yeni Safak via men]

#TeTesi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Sijaona akimkaripia Lingard ila niliona alipotolewa OGS alimkumbatia kwa bashasha na akionekana dhahiri akimwagia sifa tele kwa mpira alioupiga jana(tafuta clip alipofanyiwa sub)
2. Naona OGS amegundua ujinga wa huyo bishoo mvivu asiyetaka kuvunjika pua. Mipira yote ya juu inapigwa hasumbuki hata kuruka kichwa kum-disturb beki. Anamuacha Otamendi anaruka peke yake (Sijawahi kuona forward mjinga kiasi hiki.)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU LEO NIMEFURAHI SANA SANA UMEONA HII KITU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kitu kingine, Lukaku mwenyewe hivi majuzi kasema, alifikiria kuondoka Man u siku alipocheza mechi pili toka anasajiriwa.

Sent using simu mbovu
 
Uko sahihi,

Ila nazani jamaa hapo juu(na wengine) hakulinganisha uwezo au output ya Martial na Firminho .
Bali alikuwa anaeleza jinsi ambavyo Firminho ni mhimili wa shambulizi za Liverpool.
Ndivyo ambayo Martial amekuwa akitengenezwa(bado hajafikia firminho anavyocheza) kuwa mhimili wa shambulizi za United.

Sent using simu mbovu
 
Kabla ya kufanyiwa sub,lingard alipoteza mpira na ole alimfokea,na huko kumkumbatia ilikuwa ni kumpooza tu..
 
Halafu kitu kingine, Lukaku mwenyewe hivi majuzi kasema, alifikiria kuondoka Man u siku alipocheza mechi pili toka anasajiriwa.

Sent using simu mbovu
Watu hawafahamu umuhimu wa kuwa na wachezaji wanaoheshimu jezi, Mc tominay kipaji chake kidogo sana lakini anajua umuhimu wa kuvaa ile jezi.

Madongo anatupiwa ole lakini hio ni mentality ya mchezaji tayari. Na kazi kubwa tunayoifanya sasa hivi ni cultural reboot, toa mercenary wote waje vijana wenye njaa ya mafanikio ambao watapambana dakika zote 90.
 
Nilipigwa ban lkn is all okay.

Sadism kwa aliyenisemea was part of it.

Back to the point. Sisi wanaotubatiza majina mabaya, tunamvuto all days al the time. BF akipewa namba saba.

Anaweza akawa main Man ikitokea akawa na kismati, mvuto, nyota nk wote waliivaa namba 7 walikuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…