Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji848]
858104586_183195.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sisi tutafanye mkuu?, hakuna namna. Huku hakuna tawi la Manchester United kama la mti pesa. Acha wao wawakilishe hasira za wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza kukusanyika sehemu ya wazi kwa wingi na jezi zetu uchwara kisha tukazivua na kuzipiga moto kiroho mbaya..video lazima iende viral,na itaongeza pressure

#Wazo mfu
 
Labda tushinde njaa mkuu. Tunatakiwa tupigwe hata mkono Leo ili akili za hao stupid Americans zikae sawa.
Huwajui glazzer wewe na man U sio club yao ya kwanza, hata timu ikitaka kushuka daraja as long as mshiko unaingia kwao haina neno, uwanjani wenyewe kuwaona ni kazi, hawajali hayo ya uwanjani wanajali tu stock market.
 
Game ya Wolvers mtashinda na game ya City mtashinda then mtasema wenyewe OGS & Eddy IN baada ya hapo ni msoto mkali....

Nyumbu ni NYUMBU tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni mambo zenu za Arsenal man U hawana Tabia hii, sijawahi ona mshabiki wa Man U anaempenda huyo Ed hali ya kuwa anaijua Historia ya Club.
 
Watu hawataki mchezo kheri DAMU [emoji382][emoji382][emoji382] imwagike ubingwa Urudi alaaah [emoji36][emoji35][emoji19]

Watu na Majibu yao [emoji23][emoji23]
Screenshot_2020-01-29-11-37-29~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2020-01-29-12-11-14~2.jpeg
    Screenshot_2020-01-29-12-11-14~2.jpeg
    38.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_2020-01-29-12-11-23~2.jpeg
    Screenshot_2020-01-29-12-11-23~2.jpeg
    42.8 KB · Views: 6
Mkusanyiko bila kibali kutoka jeshi la polisi ni kinyume cha sheria. Mtakamatwa na polisi mdumbukizwe kwenye tank la gari la maji ya kuwasha.

Ombeni kibali kwanza.

Sent using Cash Money Wings
[emoji22][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nilimisi Advice zako

Umetoa angalizo muhimu sana ,wasije kuonekana wanapinga juhudi za awamu ya 5
 
Back
Top Bottom