Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba alitaka kuondoka, mbona OGS amembakisha mkuu

Tena Pogba ameonesha hivyo publicly kabisa

OGS partly ana makosa, isitoshe alimuonesha Lukaku kwake sio muhimu ndio maana Lukaku akaona his time at Man Utd was up
1. lukaku mwezi wa tatu amerequest kuondoka mwenyewe, hii ni kauli yake

“Solskjaer has my eternal respect. He understood me when I said in March that it was time for me to leave.

“I have been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26.

“Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.”

hivyo ole hakutaka kumuuza na alikuwa anambembeleza abaki, kama unavyomuona Rashford anatokea pembeni ila anafunga sana magoli ndio Ole alivyokuwa anamuona Lukaku atokee kulia na kufunga (timu ya taifa Lukaku pia anatokea pembeni).
hivyo hizo stori za ole ndio amemuondoa Lukaku ni chai tu za kijiweni.

2. martial ndio fundi wetu kwenye attacking yeye ndio anaunganisha timu, nikukumbushe tu alivyoumia hatujafunga zaidi ya goli 1 mechi zote ushahidi wa matokeo huu
View attachment 1340090

hii ni stats ya toka december ila itakusaidia kidogo record ya man utd na martial na bila martial
With Martial starting
Played: 15
Won: 11
Lost: 3
Drawn: 1
Goals for: 33
Goals against: 15
Points per game: 2.26
Win rate: 73.3%
Loss rate: 20%
Goals per game: 2.2
Goals against per game: 1

Without Martial starting:
Played: 18
Won: 5
Lost: 6
Drawn: 7
Goals for: 19
Goals against: 22
Points per game: 1.16
Win rate: 27.8%
Loss rate: 38.9%
Goals per game: 1.05
Goals against per game: 1.22

tungecheza mechi zote bila martial sasa hivi tungekuwa tunashindana na Aston villa kwenye kushuka daraja, na tungecheza mechi zote na martial sasa hivi tungekuwa nafasi ya pili tumetulia

kama unavyomuona firmino pale liverpool yeye ndie anaewafanya mane na salah wawe na viwango vikubwa kuliko uwezo wao, kuna movement zinafanya kwenye 4-3-3 ambayo striker anatakiwa acheze kama false 9 ili magoli mengi yatoke kwa watu wa pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba alitaka kuondoka, mbona OGS amembakisha mkuu

Tena Pogba ameonesha hivyo publicly kabisa

OGS partly ana makosa, isitoshe alimuonesha Lukaku kwake sio muhimu ndio maana Lukaku akaona his time at Man Utd was up

Sent using Jamii Forums mobile app
unavyoongea wewe ni habari za nje za ndani unazijua? unajua mazingumzo ya ole na pogba walivyoongea na walivyokubaliana?

lukaku alidraw line alivyoanza kukosa adabu kwenye pre season akaanza kufanya mambo mengi ikiwemo kuvujisha data za mazoezini hivyo akahitimisha career yake kwetu. kwa ole dressing room ni muhimu sana kwake ndio maana timu yetu sasa hivi ni kitu kimoja wachezaji wanapendana na wapo tayari kuteteana uwanjani.

huyo pogba mnaemponda amecheza na majeruhi mechi sijui ngapi december, mchezaji asiyetaka kukaa man U asingecheza na maumivu angekubali ile operation mapema ili ajiandae awe fit kwa ajili ya timu yake ijayo.
 
Yaani tunashindwa kupiga pass za uhakika kweli, tunapoteza mipira kirahisi mno, sielewi OGS mazoezini uwa anawafundisha nin? sterling katukosa goli la wazi

LVG angekua na hiki kikosi i beliv tungekua moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabiki wanataka kumdhuru jamaa. Sasa ataelewa.
Screenshot_2020-01-30-00-31-36.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu bhana inakufanya baadhi ya siku ujione una timu, siku nyingine bure kabisa

Brilliant performance Maguire, fantastic performance Degea, Matic, Fred

Wonderful team performance especially when we were one person deficient, but it was not enough

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hapo kwenye pasi kwakweli huwa nashangaa. Timu haiwezi kabisa hata kupiga pasi 20 za uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa elewa kwann mpaka sasa OGS hajafukuzwa? Hakuna cha rebuilding hapo, anaipotezea muda club tu

Leo city wangekua makini wangefunga magoli si chini ya mawili

Yaani kuitazama Simba Sc ni raha zaidi kuliko kuitazama man utd ya OGS ndio maana sishangai fans kutaka kumtoa roho yule Woodward

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu bhana inakufanya baadhi ya siku ujione una timu, siku nyingine bure kabisa

Brilliant performance Maguire, fantastic performance Degea, Matic, Fred

Wonderful team performance especially when we were one person deficient, but it was not enough

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Maguire kasimama sana as Team Captain..

Team Work spirit was very high.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu bhana inakufanya baadhi ya siku ujione una timu, siku nyingine bure kabisa

Brilliant performance Maguire, fantastic performance Degea, Matic, Fred

Wonderful team performance especially when we were one person deficient, but it was not enough

Sent using Jamii Forums mobile app
toka msimu uanze mechi 25 sisi na wolves pekee ndio tumeweka cleansheet na man city, na tumemfunga back to back etihad, united spirit
 
Nashindwa elewa kwann mpaka sasa OGS hajafukuzwa? Hakuna cha rebuilding hapo, anaipotezea muda club tu

Leo city wangekua makini wangefunga magoli si chini ya mawili

Yaani kuitazama Simba Sc ni raha zaidi kuliko kuitazama man utd ya OGS ndio maana sishangai fans kutaka kumtoa roho yule Woodward

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio shabiki wa MAN U.

Hebu iambie nafsi yako ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nothing special..

Maguire atleast leo ameonyesha umwamba..

We were lucky kutokufungwa

Hivi Ile faulu kwa nini hakupiga Mata??
 
Back
Top Bottom