Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu fujo gani zitaongezeka? Mimi naona akiondoka shangwe zitaongezeka. Ni kocha gani mwenye akili timamu akamuona Martial ni wa maana kiliko Lukaku.!

Sent using Jamii Forums mobile app
1. lukaku mwezi wa tatu amerequest kuondoka mwenyewe, hii ni kauli yake

“Solskjaer has my eternal respect. He understood me when I said in March that it was time for me to leave.

“I have been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26.

“Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.”

hivyo ole hakutaka kumuuza na alikuwa anambembeleza abaki, kama unavyomuona Rashford anatokea pembeni ila anafunga sana magoli ndio Ole alivyokuwa anamuona Lukaku atokee kulia na kufunga (timu ya taifa Lukaku pia anatokea pembeni).
hivyo hizo stori za ole ndio amemuondoa Lukaku ni chai tu za kijiweni.

2. martial ndio fundi wetu kwenye attacking yeye ndio anaunganisha timu, nikukumbushe tu alivyoumia hatujafunga zaidi ya goli 1 mechi zote ushahidi wa matokeo huu
man u.PNG

hii ni stats ya toka december ila itakusaidia kidogo record ya man utd na martial na bila martial
With Martial starting
Played: 15
Won: 11
Lost: 3
Drawn: 1
Goals for: 33
Goals against: 15
Points per game: 2.26
Win rate: 73.3%
Loss rate: 20%
Goals per game: 2.2
Goals against per game: 1

Without Martial starting:
Played: 18
Won: 5
Lost: 6
Drawn: 7
Goals for: 19
Goals against: 22
Points per game: 1.16
Win rate: 27.8%
Loss rate: 38.9%
Goals per game: 1.05
Goals against per game: 1.22

tungecheza mechi zote bila martial sasa hivi tungekuwa tunashindana na Aston villa kwenye kushuka daraja, na tungecheza mechi zote na martial sasa hivi tungekuwa nafasi ya pili tumetulia

kama unavyomuona firmino pale liverpool yeye ndie anaewafanya mane na salah wawe na viwango vikubwa kuliko uwezo wao, kuna movement zinafanya kwenye 4-3-3 ambayo striker anatakiwa acheze kama false 9 ili magoli mengi yatoke kwa watu wa pembeni.
 
View attachment 1340090

Unaongelea martial huyu bishoo au Mwingine?

Mkuu natamani leo kiwake tena kwa Ole.
 
last game na city lingard alikuwa na man of the match perfomance pale etihad umesahau? most of times jamaa hazingui mechi kubwa.

Haya mzee let him prove me wrong ila namuona mbinafsi sana. Me naamini teamwork inalipa sana kumpa aliye nafasi nzuri sio kujipigia ovyo ovyo.
 
kuna timu mbili duniani Man united na ABU (anyone but united) hivyo chaguo ni lako mkuu, Arsenal, chelsea, liverpool wote wako man city.

Mkuu nimechefukwa, but sio sababu ya sisi kuhama hili chama, we complain things not right so utajisikiaje ED na Glazers wakituambia hayo maneno yako sisi mashabiki?
 
Mkuu unaongelea Martial huyu hataki hata jezi yake ichafuke, hataki kupiga mpira hata kichwa afro litavurugika, hataki kupata hata ka-yellow kamoja akiipambania timu, Martial huyu anaanza na kumaliza mechi 6 anafunga kagoli kamoja (tena kwa Tranmere)
1. lukaku mwezi wa tatu amerequest kuondoka mwenyewe, hii ni kauli yake

“Solskjaer has my eternal respect. He understood me when I said in March that it was time for me to leave.

“I have been in the Premier League as an 18-year-old boy and now I am 26.

“Solskjaer wanted to keep me, but I was ready for something new.”

hivyo ole hakutaka kumuuza na alikuwa anambembeleza abaki, kama unavyomuona Rashford anatokea pembeni ila anafunga sana magoli ndio Ole alivyokuwa anamuona Lukaku atokee kulia na kufunga (timu ya taifa Lukaku pia anatokea pembeni).
hivyo hizo stori za ole ndio amemuondoa Lukaku ni chai tu za kijiweni.

2. martial ndio fundi wetu kwenye attacking yeye ndio anaunganisha timu, nikukumbushe tu alivyoumia hatujafunga zaidi ya goli 1 mechi zote ushahidi wa matokeo huu
View attachment 1340090

hii ni stats ya toka december ila itakusaidia kidogo record ya man utd na martial na bila martial
With Martial starting
Played: 15
Won: 11
Lost: 3
Drawn: 1
Goals for: 33
Goals against: 15
Points per game: 2.26
Win rate: 73.3%
Loss rate: 20%
Goals per game: 2.2
Goals against per game: 1

Without Martial starting:
Played: 18
Won: 5
Lost: 6
Drawn: 7
Goals for: 19
Goals against: 22
Points per game: 1.16
Win rate: 27.8%
Loss rate: 38.9%
Goals per game: 1.05
Goals against per game: 1.22

tungecheza mechi zote bila martial sasa hivi tungekuwa tunashindana na Aston villa kwenye kushuka daraja, na tungecheza mechi zote na martial sasa hivi tungekuwa nafasi ya pili tumetulia

kama unavyomuona firmino pale liverpool yeye ndie anaewafanya mane na salah wawe na viwango vikubwa kuliko uwezo wao, kuna movement zinafanya kwenye 4-3-3 ambayo striker anatakiwa acheze kama false 9 ili magoli mengi yatoke kwa watu wa pembeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mzee let him prove me wrong ila namuona mbinafsi sana. Me naamini teamwork inalipa sana kumpa aliye nafasi nzuri sio kujipigia ovyo ovyo.
mata aliprove kama suluhisho la kupangua bus (wolves), hivyo naamini mechi ijayo inamuhusu, leo ni mbio tu na counter.
 
Mkuu unaongelea Martial huyu hataki hata jezi yake ichafuke, hataki kupiga mpira hata kichwa afro litavurugika, hataki kupata hata ka-yellow kamoja akiipambania timu, Martial huyu anaanza na kumaliza mechi 6 anafunga kagoli kamoja (tena kwa Tranmere)

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha EXAGGERATED
 
juzi tu mwezi huu huu wa kwanza kafunga goli la kichwa na Norwich na ana goli 8 na assist 3 (contribution 11 za magoli) ndani ya mechi 17 tu. yupo on track kuvunja rekodi ya goli 11 za 2015/16 alivyokuja.
 
Back
Top Bottom