Nyie mlisokomezewa mbili mlishindwa vip kuwafunga?
Uliangalia mpira kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
tumesajili damu mpya kule King Ngwaba hahahaHa ha! Mwaka huu nimekuwa mdogo ndugu yangu. Hao Scousers wanatamba balaa, nitasema nini. Usaga sumu wote umeniisha.
Tunabonyeza namba nane mkuuTunabonyeza namba ipi kupata vituko vingine kama hivi?
Mkuu nimekwambia potential,So James,AWB,Lindelof,McTominay,Williams,Martial wako kwenye form of life ??? be serious Chief
Why Woodward ambaye alikubali kumpa Sanchez mshahara kufuru na kumpa Raiola agent fee kwenye usajili wa Pogba now anagoma kutoa hizo add ons ?
Pogba alifundishwa na OGS kwenye academy lakini sasa hataki kufundishwa nae kuna factors nyingi za kuangalia kucheza timu na Haaland was right kwenda Dortmund badala ya United kwa sasa tungeanza kumtukana baada ya mechi 5
Mafanikio kwa mchezaji ni kuchukua makombe + fedha ,Nedved (Balon Dior winner) ,Ibrahimovic,Pogba,Matuidi,Maxwell ni miongoni mwa wachezaji waliofanikiwa kwenye soka sijui kwako mafanikio ni nini
Just say mkuu januzaj anafanya vizuri Sociedad misimu yote ana ratings nzuri na sasa hivi As roma pia Wanamtaka.
Huyu kipa anajua sema hayupo timu kubwa ,arudi man u achukue namba 1Huyu dogo mrithi sahihi wa De Gea, tokea aende Shiffield kwa mkopo ka'improve a lotView attachment 1330502View attachment 1330503View attachment 1330504
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli man u academy yenu inajitahidi sanaJust say mkuu januzaj anafanya vizuri Sociedad misimu yote ana ratings nzuri na sasa hivi As roma pia Wanamtaka.
Na januzaj mmoja akifeli haina maana tukae na majonzi na kuanza kuwa negative kwa watoto wa academy, kila januzaj mmoja aliefeli kuna kina Mc tominay, Rashford, Pogba, Dean Henderson, Evans, Joshua King, Michael keane, heaton, brady etc.
Tunabonyeza namba ipi kupata vituko vingine kama hivi?
Hapana, kwasasa abaki palepale kwa mkopo akomae, man utd pressure kubwa sana, mrithi wa De Gea after 2 or 3 yearsHuyu kipa anajua sema hayupo timu kubwa ,arudi man u achukue namba 1
Hili muhimu sana, tunaitaji 3 important point tuOle aache ujinga tunahitaji 3 points leo
Mkuu nimekwambia potential,
Hao uliowataja hawajafikia potential sababu ya raiola, hakuna sehemu niliosema wachezaji wa Raiola ni wabaya. Hebu tuwachambue hao wachezaji uliowataja.
1. Ibrahimovic
Moja ya regret kubwa ya Ibra ni kutokuchukua Champions league, huyu jamaa ameiacha champions league mara mbili, alivyoondoka Inter kwenda barcelona na Alivyoondoka barcelona kwenda Ac milan. Mou alikasirika sana Ibra alivyoondoka lakini kirusi kilikuwa kinafanya mambo yake.
Jose Mourinho angered by Zlatan Ibrahimovic's Barcelona move
Inter's Jose Mourinho says he is unhappy to be losing Zlatan Ibrahimovic, but says gaining Samuel Eto'o and €45m is a great piece of businesswww.theguardian.com
2. Pogba
Hakuna asiemjua pogba mkuu mchezaji mzuri na pengine midfield mwenye kipaji kushinda wote duniani kwa sasa, nani anaefanya kipaji chake kisiwe na consinstency? Nani anaefanya muda wote awe anaongea na vyombo vya habari kutengeneza controversy, Raiola anaplant tabia Njingi alizoplant kwa Baloteli kuliko kumsaidia kupata Consinstency mchezaji wake.
3. Matuidi
Angalau huyu kidogo katulia ila ni mchezaji mzuri ambaye hajagombaniwa sana.
4. Na nedved mkuu ni zama za kale, kipindi hicho sidhani hata kama alikuwa akikulikana sana.
Mkuu de ligt nae anafanya nini sasa hivi? Compare na mwenzake De jong na Van de Beek miaka ijayo utaelewa tu.
Wewe ulimuogesha nan zakutoshaChelsea ovyo yaani watu wako 10 mnashindwa kuwaogesha goli za kutosha?
Kukiwa na mawingu huwa tunasema mvua itanyesha
Mcheki beki ghali kuliko wote mlienae pale Old Traford mkuu capitano Maguire ahhaahDuh...... Jamaa umenichekeshesha, badala ya kutoa mifano ya mabeki au viungo mahiri waliokuwa hawapitiki (kama Canavaro, Vidic, Terry) unantajia viungo na washanbuliaji kupigwa chenga ukielewa kabisa wao kuzuia sio strength yao
Sent using Jamii Forums mobile app