Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwani yeye alitafutwa na nani baada ya mou kufukuzwa..

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Sawa nimekuelewa,

OLE akiwa anataka wachezaji wapya, afanye nini?

A) Afanye kikao na Mwajiri wake wakiwepo waandishi wa habari.

B)Afanye kikao na Mwajiri wake.

C)Awaite waandishi wa habari,awaeleze mahitaji yake.

Lipi ni jibu sahihi?


Sent using simu mbovu
 
Hii inatokea sana, and it will not be the last time
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa


Muda ni mwalimu mzuri sana kuna siku watu watakuja kuelewa kuwa tuna-fix tatizo pande mbili tu tunasahau eneo la muhimu zaidi. Timu imejikita ktk wachezaji na bench la ufundi toka Ferguson amestaafu mwaka 2013 tumebadili wakufunzi 5 mpaka sasa na tumetumia pound sterling 840.15 million kununua wachezaji tumezidiwa na Manchester City tu. Ndani ya hii miaka sita iliyopita tokea Ed Woodward awe football executive rasmi kama executive vice chairman akichukuwa nafasi ya David Gill timu nyingi zimefanya vizuri kuliko sisi kwa budget pungufu kuliko yetu kwa vipindi tofauti kuanzia Leicester, Chelsea, Liverpool na Spurs(Hawa wame-maintain big 4 kwa misimu 4 mfululizo sisi tumeingia mara 2 kwa miaka 6).

Hoja yangu hapa matatizo yetu sisi ni zaidi ya bench la ufundi na wachezaji, kwanza tunahitaji viongozi wenye uelewa mpana wa masuala mpira ambao wana-track record ya kuendesha vilabu vikubwa vya mpira sisi tunawakosa wanaoweza kufanya maamuzi faster na kwa wakati sahihi endapo mwalimu atahitaji mtu. Tunakosa msuka mipango mwenye uelewa mpana sana wa soka na anayejua kusoma alama za nyakati na kwenda sambamba na upepo unavyovuma.

Kwa sasa hata tumlete Messi na Ronaldo wata-struggle tu. Ni ukweli mchungu ila ndio hali halisi, Siku ambayo viongozi (hasa hasa familia ya Glazer) watakapoukubali huu ukweli kuwa nafasi ya Ed Woodward hahitaji ushikaji ndo tutarudi ktk ubabe wetu wa siku zote. Tuna option mbili either Ed to leave the football decisions to someone else with extensive experience in the running of a football club, that person should then sit on the Board as independent director or Ed akae pembeni au arudi kuwa commercial director kama zamani nafasi yake ichukuliwe na mtu anajielewa.
 
Hii timu imejifia tayar 😂😂😂
Tumemiss kelele zenu, leo nawaombea mshinde maana mmepoa sana
 
OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself
, jamaa ni kama mwanasiasa flani

My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?

OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema

Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapo wametufunga tu wamejizana humu kukejeri, je wangekua wanaongoza ligi kama liverpool sijui ingekuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…