Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mnatozwa buku!!! Sisi kwetu jeroKidogo mchana nilipie king'amuzi changu niangalie mech kwa utulivu kilikwisha jana roho ikagoma nikahisi leo kichapo kipo walahi roho ingeuma unalipia na unapigwa ka elfu 44 kangu kangeuma sana nikasema ntasikilizia kibanda umiza bado buku langu roho ikawa inauma litakwenda majamaa humu wamenipa moyo nimeenda kuchek nimeliwa 500 miatano nimekula kipindi cha pili tulikuwa vizur kidogo.
Shukrani sana mkuu Darmian na Mc cane mlinipa ujasiri niliogopa sana kikosi kilipotoka fikiria unaambiwa jones anamaliza namba 5.
Huku buku mkuu daa nomaMnatozwa buku!!! Sisi kwetu jero
Hii kitu ni mbaya sana timu ishakuwa daraja la kati hata wolves hatuwez kupambana nayo.Huu ni muda sahihi wa ku-fix matatizo beyond coaching staff, we need to fix all structures starting from players to executives. Sehemu ya board it's our biggesthandicap kwa sbb we're owned by Americans who naturally aren't football-lovers like Brits or Spaniards or Italians, half of the Board comprises of the Glazer family leaving the rest to the suits who run the business. They need to have atleast 3 out of the 12 positions occupied by football minds guide to offer insight on football.
Ningependa sana ktk hizi nafasi 3 za independent directors mbili waingie Fergie na David Gill. Board nzima ya watu 12 hakuna mtu wa mpira pale.
Malizana nao wewe Bado una mech nao 2Hivi mkuu nyie mshamalizana na city kwenye ligi?
Mech ya Leo ilikuwa mle mkono first half labda kama umesimuliwaHata mech ya arsenal alizingua sana alikuwa upande wenu KDB alitumia akili yake tu kuamua mech pale kwenu bila hivyo city angetoa suluhu na arsenal
punguza jazba.ndio tayari imeshatokea unalia lia nini..?!Angalia Mkuu, usipoangalia utadanganywa
Nimeona kuna mtu alileta longolongo humu eti Guardiola kasema kuliko kuifundisha United, bora aifundishe timu ya taifa ya Maldives, ukamchana
Humu kuna watu waongo waongo sana, wanachukua kaukweli flani, wanachanganya na uongo mkubwa kutengeneza story uchwara
Mimi naangalia kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa unagundu sijapata kuona yani.Kama Lingard na Greenwood watarudi kipindi cha pili ni wakati wa huyu kocha kutuachia timu yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
City haikuwa full kwani mpaka muda huu inakosa huduma ya mabeki wao ambao wapo majeruhi na Pep anampanga Rodri na Fernandinho kama mabeki.....yaani beki wa asili alikuwa mmoja tu.Hapana nakataa bora nilienda kuona timu ilikuwa inakosa wachezaj wa tatu muhimu ambapo city alikuwa full
Lakini kumbuka Phil Jones ni beki....Kama leo kashindwa na phil jones atamkuta wapi? Leo jones kamaliza mkoba unatambua lakin mkuu
Hivi wale kina Garry Neville waliokuwa wanamsakama Mou, van gall siku hizi siwasikii kabisa , wanamuonea aibu Ole Masai nini? Wakiangalia kwenye bench kuna team mate Carrick ,Ukweli ni kwamba OGS hata apewe miaka 10, man u ubingwa wa kombe lolote msahau. Ole sio kocha bora. Timu inacheza kwa mbinu za makocha wasaidizi. Kiufupi ole anakula mshahara bure.
Waliowahi kuwa wachezaji wa man u wana mdomo, mashabiki wana mdomo wacha muendelee kushikishwa ukuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Beki ni mmoja tu aliemajeruhi ambae ana namba ya kudumu lapote wengine wote hawana namba ya kudumuCity haikuwa full kwani mpaka muda huu inakosa huduma ya mabeki wao ambao wapo majeruhi na Pep anampanga Rodri na Fernandinho kama mabeki.....yaani beki wa asili alikuwa mmoja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa point yako hapa ni ipi?
HayakuhusuNaona umeishiwa sera kweli vipigo haviwaachi raia salamaKwani hili jukwaa lina mipaka yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa point yako hapa ni ipi?
HABARI ZILITOKA HIVI PUNDE.
KIPIGO CHA MAN CITY, CHAMFUKUZISHA OLE
HABARI zilizotoka asubuhi hii, ni Ole kutupiwa vilago vyake baada ya Manchester City kumpiga Manchester United magoli ma3 kwa moja pale Old Trafford.
Ulikuwa ni usiku mbaya sana kwa mashabiki wa Manchester United baada ya kutolewa kwenye FA Cup na timu hasimu wanayotoka Jiji moja la Manchester. Goli pekee la United lilifungwa na kinda M-Brazil; Pereirra huku Man City tukiona wakimiliki mchezo mzima kwa kipindi cha kwanza ambapo KDB au De Bruyne akiwa mwiba mkali langoni mwa Manchester United.
Manchester United iliwakosa watu wake muhimu kama vile Scott McTominay na Paul Pogba ambao wote ni majeruhi. Pia Tony Martial alikuwa anatoka kuuguza vijeraha vidogo alivyovipata siku za nyuma hivyo hakuonyesha cheche zake. Meneja wa Manchester United alijitetea hivi mbele ya waandishi wa habari.
Mbali na hapo, Fred Boy mapafu ya Mbwa, yeye alibahatika kucheza nafasi ya DM au tuseme Defensive Midfield (Namba 6) huku Perreira akiua AM - Attacking Midfield na Lingardinho akimaliza CAM as namba 10. Kwa hali halisi unaweza kuona hizi Middle zinaweza kufanywa nini zinapokutana na wababe kama KDB, Fernadinho, Silva nk. Na wakati huo Phil naye alikuwepo uwanjani akizungushwa na kugeuzwa kama chapati na KDBizo.
Baada ya matokeo haya, ndipo uongozi wa familia moja ya Kimasai huko Arusha vijijini uliamua kumtupia vilago vyake ndugu Ole Sendeka baada ya kukataa kumuoa mtoto wa tajiri ng'ombe mmoja wa kijiji kinachopatikana huko Arusha. Ole alichukua vilago vyake viwili alivyoshonewa na mama yake pamoja na begi lake la nguo na kisha kwa masikitiko aliiambia familia yake kuwa watamkumbuka sana.
Tukio hili lilitokea saa sita ya usiku punde tu mechi ya Man U na Man City kuisha. Ole Sendeka ambaye alifika studio za Upepo wa Pesa zilizopo Chato, alikutana na akina Mshana Jr na kumpa mkasa mzima na mimi nikaamua kuuleta mkasa huu hapa JamiiForums.
Asante.
Lingard ana 27 sasa dah.When you watch from afar you will notice that this boy's played exceptional well.Lingard is improving he is a young lad.
Jones will do better next time.
We hope to improve in the next game.
Ole after the match.