Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mufc na Raiola ni kama mtu na mumewe...
Kwa kweli itabidi apelekwe Mirembe...Aache kicheza uefa msimu ujao ake kucheza Europa??
Atakuwa mjinga sana...
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app




Man u takataka kabisaaNinazo mkuu sijajisahaulisha!
Kutusaidia leo sio tiketi ya wewe kubaki dk 90 ukizingua.Wamewabeba mara ngapi....?
Kwa hiyo ndo waondoke au...?Kutusaidia leo sio tiketi ya wewe kubaki dk 90 ukizingua.
Ni wajibu wao cha ajabu ovyo.
Hebu angalia epl takwimu za Big chance missed.
Kwa hiyo kufeli tu gemu ya arsenal, rashid aondoshwe...?
Acha kukopi vitu kwa shafiiiii dauda"Kuliko niwe kocha wa Man United bora nikafundishe timu ya taifa ya Maldives. Nikikosa ofa kabisa naenda zangu kula bata tu"
Pep Guardiola

,Swala la kuleta hoja kama huna kichwa juu ya mabega pls uache sio lazima kila siku uonekane copy dat.
"Kuliko niwe kocha wa Man United bora nikafundishe timu ya taifa ya Maldives. Nikikosa ofa kabisa naenda zangu kula bata tu"
Pep Guardiola
Hajafeli gem ya arsenal ni timu nzima kipindi cha kwanza ilikuwa hovyo cha pili walicheza fresh walicheza kama walivyocheza mech ya watford aliengalia hii mech anajua viwango vilikuwa chini sana ktk hizo mech mbiliKwa hiyo kufeli tu gemu ya arsenal, rashid aondoshwe...?
Ila mchezaji wa soka unafaa uwe mvumilivu aisee.....kati ya wachezaji wa man u ambao hawapaswi kulaumiwa msimu huu ni Rashford... Nadhani kawapa pointi za kutosha msimu huu... Eti mchezaji wa mechi kubwa kwan ana magoli mangapi alipocheza na timu kubwa msimu huu...?Hajafeli gem ya arsenal ni timu nzima kipindi cha kwanza ilikuwa hovyo cha pili walicheza fresh walicheza kama walivyocheza mech ya watford aliengalia hii mech anajua viwango vilikuwa chini sana ktk hizo mech mbili
Rashford ni mchezaj wa mech kubwa kwanza sijaona huko kwa wajuz wa mpira wanamjadili zaidi ya nyie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unakuja juu ,shaffih ni man u fan , mimi nimeileta japo kaongeza chumviAcha kukopi vitu kwa shafiiiii dauda
Here is a full sentence of what he said;
"Maybe not the Maldives because it doesn't have any golf courses but after training City, I won't train United, just like I would never train Madrid,"
View attachment 1314747
Sent using Jamii Forums mobile app