Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya maneno yanaudhi sana, ni matusi kwakweli. Raiola unamaanisha hatupaswi kuwa na Pogba wala kusajili mchezaji mzuri.
"Paul Pogba's agent Mino Raiola says Manchester United is so poorly run that the club would "ruin" some of football's greatest ever players, including Pele and Diego Maradona"
 
Liverpool haijawahi kuwa na Matatizo na VAR hata siku moja.
Bali aina ya Watu kama wewe ndiyo wenye matatizo na VAR.

Kele zako na wenzako juu ya VAR ndiyo unafanya ni matatizo ya Liverpool na VAR?
Vumilieni na VAR yenu, mbona nyie mlikuwa mnazusha marefa kuibeba United hata kwa mambo yaliyo wazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno yanaudhi sana, ni matusi kwakweli. Raiola unamaanisha hatupaswi kuwa na Pogba wala kusajili mchezaji mzuri.
"Paul Pogba's agent Mino Raiola says Manchester United is so poorly run that the club would "ruin" some of football's greatest ever players, including Pele and Diego Maradona"
Huyu jamaa ndio anafanya pogba anatudengulia, OGS amuuze tu, pogba wa kawaida sana mbona, angefika nusu ya KDB je ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu hata uwaambie vipi kwamba pogba anaiharibu Man U hawaelewi,watakwambia tu pogba ndio kiungo wetu bora kabisa hadi sasa. Ubora wake sijui wanaupata wapi kwa mtu ambaye hayuko committed na timu
 
Railo yuko kazini apo anataka ku broker deal apo , Anjaribu kuwasha taaa za kijani ili clubu iingiwe wenge la kumpa maslahi mchezaji wake.

Dawa yake n kumpuuza alafu unamuuza mchezaji tu msimu wa kiangazi
 
Screenshot_20200101-101005.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chezaji lenyewe linapenda kubadili "hair colours and style" pekee. Kiufupi, tokea namuona Pogba kwa mara ya kwanza mwaka 2012, sijawahi mkubali mpaka leo. Bora asepeshwe tu
 
Kuna watu humu hata uwaambie vipi kwamba pogba anaiharibu Man U hawaelewi,watakwambia tu pogba ndio kiungo wetu bora kabisa hadi sasa. Ubora wake sijui wanaupata wapi kwa mtu ambaye hayuko committed na timu
Nachohofia anaweza ambukiza dressing room yakatokea yale ya Mou, dawa ni kumuuza ikiwezana this january ila hela tunayotaka sidhan kama kuna club itaweza kukubali (120 pounds mil)

Huyu ni wa 40 pound mil, Mou na Raiola walitupiga hapa
Ni heri OGS akasajiri wachezaji wa 15pound mil aina ya DJ wenye spirit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guardiola alimkataa Pogba sababu ya attitude yake na wakala wake

Timu kubwa Ulaya nyingi hazina mahusiano mazuri na Raiola, tatizo ni mjanja mjanja na utapeli mwiiiiiingi

Juzi juzi kazinguana na Barca
Kuna watu humu hata uwaambie vipi kwamba pogba anaiharibu Man U hawaelewi,watakwambia tu pogba ndio kiungo wetu bora kabisa hadi sasa. Ubora wake sijui wanaupata wapi kwa mtu ambaye hayuko committed na timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni mzuri, yaani katika ranking ya uchezaji kiasilimia yupo kwenye 65-70%

Sasa mchezaji kama huyo akiwa anachafua hali ya hewa klabuni wa nini kukaa naye

Wenzake kina KDB ni 80-90% complete players lakini wastaarabu sana
Chezaji lenyewe linapenda kubadili "hair colours and style" pekee. Kiufupi, tokea namuona Pogba kwa mara ya kwanza mwaka 2012, sijawahi mkubali mpaka leo. Bora asepeshwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dirisha la usajili Januari limefunguliwa, wanaotajwa kuwindwa

Boubakary Soumare (midfielder) - Lille

Jude Bellingham (midfielder) - Barmingham City

Gedson Fernandes (midfielder) - Benfica

James Madison (namba 10) - Leicester City

Jadon Sancho (right winger) - Dortmund

Jack Grealish (namba 10,8,7) - Aston Villa

Kulusevski (namba 10,7,11) - Atalanta

Muosa Dembele (striker) Lyon

Ricardo Perreira (namba 2) - Leicester City

Wanaotajwa kuondoka

Nemanja Matic (midfielder) - Atletico Madrid & Inter Millan

Marcos Rojo (Deffender) - not known

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, mara nyingi.

Mwaka 2005 wakati tunachukua UEFA Istanbul, yeye ndiye alikuwa kocha wa Millan.

(BTW: mwaka huu tena Final ni kwenye uwanja huo huo, so tunarudia kufanya yetu).

Pia Aliwahi kuwa kocha wa Chelsea 2009 - 2011.

Chini ni matokeo yetu ya msimu wa 2010/2011

View attachment 1309141
Kocha alikuwa Klopp? Au hukuelewa aliposema Klopp hajawahi mfunga OGS na Ancelot?
Hivyo, Liverpool mmeshawahi kumfunga Ancelot, lakini Liverpool chini ya Klopp hamjafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom