Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We Rashid amekut*mb*a demu wako wako, mbona unamuandama sana

Huna hoja tena ya kumnanga, magoli uliyosema hafikishi, amefikisha na kupita idadi
Cr7 akiwa na miaka 21 alifanya mengi ya kutisha ..uyu Rashid anakwama wapi? Misimu mitatu ndani ya EPL bado anaruka ruka tu..

Tammy kaja juzi na atamkimbiza vibaya mnoo

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No Mc Tominay, no Pogba, kwenye press OGS amesema kwamba Pogba atahusika kwenye game

Mlafi Raiola ameshatema mbovu sana kuhusu Pogba na wateja wake ndani ya United

Kirusi kinaendelea kumwaga sumu kwenye timu yetu na OGS anaendelea kukilamba kirusi miguu
Screenshot_20191231_201543_com.android.chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom