Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu mwamba atajwi tajwi sana ila ndio mchezaji wetu muhimu sana pale kati, timu ishinde/ifungwe mwamba lazima aonekane, ana mapafu anazurura uwanja mzima, kafanya tumsahau kidogo pogba

Jana kafanya mtu mzima Matic awe na kazi rahisi pale kati

kipindi yupo shartar donesk Pep alimtaka ila Mou akawai japo Mou alishindwa mtumia na soka lake la kupaki bus

Nina amu kuona viungo watatu wakicheza pamoja either
Fred/Scot/Pogba au
Fred/Matic/Pogba

View attachment 1306366

Sent using Jamii Forums mobile app
Best improved player of the season so far kwa upande wetu
 
Wachambuzi wa wachezaji embu naomba mchambue uwezo wa Fred pale katikati mwa dimba letu.

Udhaifu wake, kwa mimi naona long range shuti zinasumbua, ata target kweny goli shuti zake zinasumbua
Kimsingi hilo ndo jambo ambalo inabidi ajitahidi..ukiamua kushoot basi jitahidi ufikie target..

Kuna muda anakuwa bulled kirahisi,na refa wanapeta huku yeye akitegemea refa angesema ni faulo..hili pia inabidi aliangalie

Apart from that,kijana anacheza poa sana..napenda sana anavyoselect mtu wa kumpa pasi wakati akipandisha timu..anampa pasi mtu ambaye yupo kwenye eneo zuri la kutengeneza kitu out of available option za kutoa pasi..

Kuna watu tulishakata tamaa na Fred,lakini tokea Pogba ameumia amekuwa ni mchezaji wetu wa muhimu sana kwenye kikosi
 
Mambo Ni

Kunakofukuta kwingineko

The hammers wa pande za Upton park zamani...

Toffee wa pale Kati Midland, godson park

Ongeza na wewe list ya kwenye mwishi......
View attachment 1276206
Yametia, London stadium/wagonga nyundo wafungashia virago mwalimu wao/ ambaye time kwenye kumbukumbu za walimu waliowahi kubeba ndoo ya EPL

Sent using my Audi A6 2017 model
 
IMG-20191229-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom