Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku hizi United hata ikishinda 4 hujui ufurahie au unune

Hatujui mechi ijayo itakuaje, wachezaji/timu wamekuwa hawana consistence kabisa

Tusilaumu sub zilizofanyika, huu mwezi kuna fixtures za kutosha, kwa hiyo lazima wachezaji tunaowategemea wapumzishwe

Wachezaji wanaopewa nafasi halafu wanarukaruka, wanazidi kuhalalisha kupigwa kwao benchi

Siku hizi United hata ikishinda 4 sijui nifuarahie au next mechi nitaishia kuwa frustrated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konaball,
Kocha tunaongoza lakini ametuzingua mechi hii ilikuwa ya kuvunja record ya magoli ila mhhh

Kama umegundua kitu bench letu la ufundi kuanzia kocha mkuu Ole na msaidizi wake Mike Phelan pamoja na hawa makocha wa vikosi vya kwanza Kieran Mckenna na Michael Carrick wanafanana sana kiuwezo na kimtizamo hasa hasa linapokuja swala la kuusoma mchezo unapoendelea ambao kwa maoni yangu binafsi uwezo wao wote ni mediocre, mechi ikiwa ngumu tukiwa tumefungwa ni ngumu sana kupata matokeo.
Laiti kama Ed Woodward angekuwa smart walau nusu ya uwezo wa David Gill (He was overseeing club's operations beyond stakeholders interest sio kama huyu kilaza Ed anayeweka mbele zaidi maslai ya Glazer family rather than our happiness as fans sijui kwa ssb kisa alikuwa mshauri wao wakampa kazi kiushikaji) angeenda RB Leipzig kumshawishi Julian Nagelsmann aje kuongeza nguvu kwenye bench la ufundi kama atakubali awe kocha msaidizi with some convincing promises kama atakuja kupewa timu baadae. He's very inquisitive and smart.
 
Acha nimsaidie ARV. Jioneni hapo. 7th
Screenshot_20191227-010111.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Back
Top Bottom