Mc cane, Sijajua kwa nini ulipenda sana Erling ajiunge nasi ila kiukweli kama tungemsajili ingekuwa bonge la technical blunder. Badala ya kuleta constructive competition pale mbele tungewadhoofisha wote pamoja na yeye mwenyewe kumbuka washambuliaji wetu wote ni vijana wadogo pasingekuwa na mtu wa kumjenga mwenzie. Kama tunasajili mshambulizi basi awe mzoefu wa ku-train na vijana wetu kila siku pale Carrington ili kuwajenga zaidi na sio kijana mwenzao ambaye huna hata uhakika kama ata-deliver au atakuwa flop (most likely).
Kuna siku mchambuzi mmoja wa michezo maarufu hapa nchini tukiwa mahala alilinganisha tensity ya usajili wa Erling na ule wa Wazza mwaka 2004, I almost choked at my beer kwa kucheka I tried not to laugh at his folly but I couldn't stop myself. Wazza kipindi Fergie ana submit final proposal kwa David Gill wakaishawishi bodi kulipa pesa nyingi kwa kipindi kile (Pound sterling 25M) kwa kijana wa miaka 18 kuanzia David mwenyewe mpaka wakurugenzi walimuona Fergie kapoteana lakini aliwaambia hapa nazungumzia kijana wa miaka 18 aliyecheza michezo 67 ya Premier League na kufunga goli 15 na msimu uliomaliza kazidiwa kwa ufungaji na Ruud Van Nistelrooy (20) pekee kwa United Wazza alikua amefunga goli 10. Msimu huo tulikuwa na Louis Saha, Diego Forlan, Ryan Giggs na Cristiano Ronaldo kama washambuliaji na wote hawa hakuna aliyekuwa kamfikia Wazza kwa kufunga msimu wake wa mwisho na Everton.
Hoja yangu hapa huyu Erling angekuwa amecheza ktk hizi ligi 4 kubwa kwa takwimu hizo hizo nisingetilia mashaka uwezo wake. Ligi za Norway na Austria sio mahala ambapo utasema ni competitive walau ingekuwa Netherland au Belgium. Hizo ligi hata Uefa walikuwa wanaziweka kapu la chini kabisa mabingwa wa nchi zao walikuwa wanapitia mlango wa upenuni kufuzu makundi.
Ila mkuu usisahau tupo majeruhi moja tu tuwe timu isiofunga. Bila martial timu yetu ni ovyo kabisa katika ufungaji. Tunahitaji backup ama patner wa Martial.Mc cane, Sijajua kwa nini ulipenda sana Erling ajiunge nasi ila kiukweli kama tungemsajili ingekuwa bonge la technical blunder. Badala ya kuleta constructive competition pale mbele tungewadhoofisha wote pamoja na yeye mwenyewe kumbuka washambuliaji wetu wote ni vijana wadogo pasingekuwa na mtu wa kumjenga mwenzie. Kama tunasajili mshambulizi basi awe mzoefu wa ku-train na vijana wetu kila siku pale Carrington ili kuwajenga zaidi na sio kijana mwenzao ambaye huna hata uhakika kama ata-deliver au atakuwa flop (most likely).
Kuna siku mchambuzi mmoja wa michezo maarufu hapa nchini tukiwa mahala alilinganisha tensity ya usajili wa Erling na ule wa Wazza mwaka 2004, I almost choked at my beer kwa kucheka I tried not to laugh at his folly but I couldn't stop myself. Wazza kipindi Fergie ana submit final proposal kwa David Gill wakaishawishi bodi kulipa pesa nyingi kwa kipindi kile (Pound sterling 25M) kwa kijana wa miaka 18 kuanzia David mwenyewe mpaka wakurugenzi walimuona Fergie kapoteana lakini aliwaambia hapa nazungumzia kijana wa miaka 18 aliyecheza michezo 67 ya Premier League na kufunga goli 15 na msimu uliomaliza kazidiwa kwa ufungaji na Ruud Van Nistelrooy (20) pekee kwa United Wazza alikua amefunga goli 10. Msimu huo tulikuwa na Louis Saha, Diego Forlan, Ryan Giggs na Cristiano Ronaldo kama washambuliaji na wote hawa hakuna aliyekuwa kamfikia Wazza kwa kufunga msimu wake wa mwisho na Everton.
Hoja yangu hapa huyu Erling angekuwa amecheza ktk hizi ligi 4 kubwa kwa takwimu hizo hizo nisingetilia mashaka uwezo wake. Ligi za Norway na Austria sio mahala ambapo utasema ni competitive walau ingekuwa Netherland au Belgium. Hizo ligi hata Uefa walikuwa wanaziweka kapu la chini kabisa mabingwa wa nchi zao walikuwa wanapitia mlango wa upenuni kufuzu makundi.
Umeandika habari ndeeeeefu ...aaagh straika gani ya man u iko fom ..Rashid?? Mashow???Najua we are comfortable now, na kitendo cha Haaland kusajiliwa Dortmund hakiwaumi watu wengi sababu ma strikers wetu wote kwa sasa wapo fiti na wapo form, sidhani kama watu wangekuwa na mtazamo huo huo mwezi septemba, Oktoba na Novemba mwaka huu unaokwisha
Unasema tungesajili senior striker ili awafundishe, nimewahi kuuliza huko nyuma, senior striker unayewaongelea ambao wapo sokoni ni akina nani, sikupata majibu. Utanishangaza ukinitajia Mandzukic, Falcao, Ibrahimovic wakati tumemuacha Lukaku ambaye angeweza kufanya hiyo kazi ya "kuwafundisha madogo" kama unavyoshauri
Kwa sasa hivi kikosi chetu kina pure striker wawili, Martial na Greenwood ambaye bado hajacheza senior football kiasi cha kwamba akaaminiwa na kupewa majukumu ya timu, Rashy sio striker (sio namba 9), DJ sio namba 9.
Haaland sio senior (kwa idadi ya miaka aliyonayo), lakini ni senior kwa uzoefu wa kucheza senior football. Pamoja na kumbeza kwamba ametokea ligi laini, lakini kote huko amekuwa outstanding. Ligi ya mabingwa Ulaya ameng'ara, je na hayo ni mashindano nyoronyoro? Wachezaji wakubwa wote Ulaya tunawapitisha kuwa ni bora au wabovu kwa namna watakaocheza ligi ya mabingwa Ulaya.
Haaland ana magoli 8, ni wa pili nyuma ya Lewandowski mwenye magoli 10, na wanaomfuata wana goli 6, kwenye chati ya wafungaji wa UCL 2019/2020. Kuliweka suala hili ili lieleweke vizuri, Haaland kiufungaji yupo juu ya mchezaji anayetajwa kuja kuwa Ballon'dour winner siku zijazo, Mbape ambaye ana goli 5 kwenye UCL. Kwahiyo hapa tusikaririshane uongo kwamba dogo anafunga magoli ligi nyepesi nyepesi tu, huyu dogo ametoboa safu za ulinzi chini ya Koullibaly na VVD, kwa taarifa yako.
Nakukumbusha pia RB Salzburg, timu unayodai inacheza ligi nyepesi ndio imewaleta kwenye ulimwengu wa soka, akina Mane, Naby Keita, Minamino (Liverpool) Upemecano (RB Leipzig) n.k. Kwanini Haaland asiwe bora kisa tu ametokea ligi ya Austria.
OGS akiwa mchezaji alitokea Norway, Nesterloy alitokea Uholanzi, Delle Ali ametokea MK Dons timu ya ligi daraja la 3, Ibrahimovic alitokea Malmo ya Sweden, orodha ni ndefu sana.
Pia nikukumbushe, kuwa scouts wapo kwa ajili ya hiyo kazi, ya kutafuta diamonds kwenye mashimo na si kwenda kununua almasi kwenye masoko yaliyopo mjini
Mwisho nikwambie, kusajili siku zote huwa kuna asilimia flani ya gambling, kuna wakati unaweza ukasajili mchezaji na akacheza kwa kiwango ambacho haukukitazamia au akang'ara, kwa United kufanya gambling ya £20million tu kwa Haaland isinge disturb pochi nene ya Glazers.
Kitu pekee kilichonifurahisha kwa huyu dogo kwenda Dortmund na sio kuja United, ni kutoongeza wigo wa kufanya biashara na tapeli Mino Raiola
Huyu dogo ameshakwenda, tuangalie mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app

Ila mkuu usisahau tupo majeruhi moja tu tuwe timu isiofunga. Bila martial timu yetu ni ovyo kabisa katika ufungaji. Tunahitaji backup ama patner wa Martial.
1. Ole anamjua Haaland hivyo angekuja isingekuwa ngumu kwake kumtumia.
2. Euro milioni 20 ni pesa ndogo sana kwa Man U hasa Era hii ambayo kila mchezaji mzuri ni 50m kupanda.
3. Kuna mifumo ole anatumia inawezekana wote Martial, Rash, Haaland na James kuanza, na hata mmoja akianzia benchi ni kawaida watapokezana.
Timu zote za Man U ambazo zilikuwa zikitesa zilikuwa na Depth kubwa sana. Mfano Man U ya 1999 ina Cole, yorke, sherigham, na Solskjaer wote ni striker hao, ukija ya 2008 una Ronaldo, Rooney, Tevez, saha, welbeck etc
Ili tuwe na depth nzuri tunatakiwa striker, midfield/winga ya kulia inayojua kufunga na no 10 ama playmaker/kiungo mshambuliaji.
Ila yote hayo Nakubaliana na Ed/ole kwa kumtolea nje Raiola na Baba wa Mchezaji, Fergie pia aliwahi kufanya hivi kwa Tevez, mchezaji hatakiwi kumilikiwa na mtu.
Hapo kwenye ligi alizocheza huyo dogo sidhani kama upo sahihi ktk kufanya huyo dogo asiwe na sababu ya kusajiliwa na Man U. Ole mwenyewe alipatikana kutoka wapi, pogba alipatikana wapi? Labda kwa Hoja ya kwamba tuna vijana wengi Wa umri Wa haaland wenye uwezo Mkubwa tunaopaswa kuundelezaMc cane, Sijajua kwa nini ulipenda sana Erling ajiunge nasi ila kiukweli kama tungemsajili ingekuwa bonge la technical blunder. Badala ya kuleta constructive competition pale mbele tungewadhoofisha wote pamoja na yeye mwenyewe kumbuka washambuliaji wetu wote ni vijana wadogo pasingekuwa na mtu wa kumjenga mwenzie. Kama tunasajili mshambulizi basi awe mzoefu wa ku-train na vijana wetu kila siku pale Carrington ili kuwajenga zaidi na sio kijana mwenzao ambaye huna hata uhakika kama ata-deliver au atakuwa flop (most likely).
Kuna siku mchambuzi mmoja wa michezo maarufu hapa nchini tukiwa mahala alilinganisha tensity ya usajili wa Erling na ule wa Wazza mwaka 2004, I almost choked at my beer kwa kucheka I tried not to laugh at his folly but I couldn't stop myself. Wazza kipindi Fergie ana submit final proposal kwa David Gill wakaishawishi bodi kulipa pesa nyingi kwa kipindi kile (Pound sterling 25M) kwa kijana wa miaka 18 kuanzia David mwenyewe mpaka wakurugenzi walimuona Fergie kapoteana lakini aliwaambia hapa nazungumzia kijana wa miaka 18 aliyecheza michezo 67 ya Premier League na kufunga goli 15 na msimu uliomaliza kazidiwa kwa ufungaji na Ruud Van Nistelrooy (20) pekee kwa United Wazza alikua amefunga goli 10. Msimu huo tulikuwa na Louis Saha, Diego Forlan, Ryan Giggs na Cristiano Ronaldo kama washambuliaji na wote hawa hakuna aliyekuwa kamfikia Wazza kwa kufunga msimu wake wa mwisho na Everton.
Hoja yangu hapa huyu Erling angekuwa amecheza ktk hizi ligi 4 kubwa kwa takwimu hizo hizo nisingetilia mashaka uwezo wake. Ligi za Norway na Austria sio mahala ambapo utasema ni competitive walau ingekuwa Netherland au Belgium. Hizo ligi hata Uefa walikuwa wanaziweka kapu la chini kabisa mabingwa wa nchi zao walikuwa wanapitia mlango wa upenuni kufuzu makundi.

Umeandika habari ndeeeeefu ...aaagh straika gani ya man u iko fom ..Rashid?? Mashow???
Acha utani bana...
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa umeeleza vema sanaNajua we are comfortable now, na kitendo cha Haaland kusajiliwa Dortmund hakiwaumi watu wengi sababu ma strikers wetu wote kwa sasa wapo fiti na wapo form, sidhani kama watu wangekuwa na mtazamo huo huo mwezi septemba, Oktoba na Novemba mwaka huu unaokwisha
Unasema tungesajili senior striker ili awafundishe, nimewahi kuuliza huko nyuma, senior striker unayewaongelea ambao wapo sokoni ni akina nani, sikupata majibu. Utanishangaza ukinitajia Mandzukic, Falcao, Ibrahimovic wakati tumemuacha Lukaku ambaye angeweza kufanya hiyo kazi ya "kuwafundisha madogo" kama unavyoshauri
Kwa sasa hivi kikosi chetu kina pure striker wawili, Martial na Greenwood ambaye bado hajacheza senior football kiasi cha kwamba akaaminiwa na kupewa majukumu ya timu, Rashy sio striker (sio namba 9), DJ sio namba 9.
Haaland sio senior (kwa idadi ya miaka aliyonayo), lakini ni senior kwa uzoefu wa kucheza senior football. Pamoja na kumbeza kwamba ametokea ligi laini, lakini kote huko amekuwa outstanding. Ligi ya mabingwa Ulaya ameng'ara, je na hayo ni mashindano nyoronyoro? Wachezaji wakubwa wote Ulaya tunawapitisha kuwa ni bora au wabovu kwa namna watakaocheza ligi ya mabingwa Ulaya.
Haaland ana magoli 8, ni wa pili nyuma ya Lewandowski mwenye magoli 10, na wanaomfuata wana goli 6, kwenye chati ya wafungaji wa UCL 2019/2020. Kuliweka suala hili ili lieleweke vizuri, Haaland kiufungaji yupo juu ya mchezaji anayetajwa kuja kuwa Ballon'dour winner siku zijazo, Mbape ambaye ana goli 5 kwenye UCL. Kwahiyo hapa tusikaririshane uongo kwamba dogo anafunga magoli ligi nyepesi nyepesi tu, huyu dogo ametoboa safu za ulinzi chini ya Koullibaly na VVD, kwa taarifa yako.
Nakukumbusha pia RB Salzburg, timu unayodai inacheza ligi nyepesi ndio imewaleta kwenye ulimwengu wa soka, akina Mane, Naby Keita, Minamino (Liverpool) Upemecano (RB Leipzig) n.k. Kwanini Haaland asiwe bora kisa tu ametokea ligi ya Austria.
OGS akiwa mchezaji alitokea Norway, Nesterloy alitokea Uholanzi, Delle Ali ametokea MK Dons timu ya ligi daraja la 3, Ibrahimovic alitokea Malmo ya Sweden, orodha ni ndefu sana.
Pia nikukumbushe, kuwa scouts wapo kwa ajili ya hiyo kazi, ya kutafuta diamonds kwenye mashimo na si kwenda kununua almasi kwenye masoko yaliyopo mjini
Mwisho nikwambie, kusajili siku zote huwa kuna asilimia flani ya gambling, kuna wakati unaweza ukasajili mchezaji na akacheza kwa kiwango ambacho haukukitazamia au akang'ara, kwa United kufanya gambling ya £20million tu kwa Haaland isinge disturb pochi nene ya Glazers.
Kitu pekee kilichonifurahisha kwa huyu dogo kwenda Dortmund na sio kuja United, ni kutoongeza wigo wa kufanya biashara na tapeli Mino Raiola
Huyu dogo ameshakwenda, tuangalie mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Namchukia sana mino raiolaIla mkuu usisahau tupo majeruhi moja tu tuwe timu isiofunga. Bila martial timu yetu ni ovyo kabisa katika ufungaji. Tunahitaji backup ama patner wa Martial.
1. Ole anamjua Haaland hivyo angekuja isingekuwa ngumu kwake kumtumia.
2. Euro milioni 20 ni pesa ndogo sana kwa Man U hasa Era hii ambayo kila mchezaji mzuri ni 50m kupanda.
3. Kuna mifumo ole anatumia inawezekana wote Martial, Rash, Haaland na James kuanza, na hata mmoja akianzia benchi ni kawaida watapokezana.
Timu zote za Man U ambazo zilikuwa zikitesa zilikuwa na Depth kubwa sana. Mfano Man U ya 1999 ina Cole, yorke, sherigham, na Solskjaer wote ni striker hao, ukija ya 2008 una Ronaldo, Rooney, Tevez, saha, welbeck etc
Ili tuwe na depth nzuri tunatakiwa striker, midfield/winga ya kulia inayojua kufunga na no 10 ama playmaker/kiungo mshambuliaji.
Ila yote hayo Nakubaliana na Ed/ole kwa kumtolea nje Raiola na Baba wa Mchezaji, Fergie pia aliwahi kufanya hivi kwa Tevez, mchezaji hatakiwi kumilikiwa na mtu.
Ndio mkuu, hapo sio wakala tu hadi baba wa mchezaji, yale yale mambo ya Neymar.
Agent anapata hela kwenye mkataba wa mchezaji,Unataka ale mawe? Anakula kupitia mauzo ya wachezaji. Akufaidishe wewe yeye afe njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah umenichekesha, eti wakikosea akaidaka Fred shida itaanzia hapoArsenal bana sikutegemea watazingua kiasi kile First half Chelsea ilikuwa ovyo no shot hata moja yet michezaji ya Arsenal imerelax mfano lacazette alipasiwa vizuri anazingua ovyo tu.
Jumatano mkianza na soka la Chelsea tegemea kipigo! Maana mtakuwa manataka kushambulia ovyo ovyo mkijisahau kuwa wakata mnashambulia.mkikosea pasi ikatua kwa fred fred huyo anampa David James mbio mbio mbio mbio!
Ole wako Rashford utuzingulie chance.
Acha kusifia ww....nyie ndo mnaleta ulogi..
Sawa....najua unaongea hivyo kwa faida yako tu.Mzee mbona unaogopa ogopa, jumatano lazima man u wakae.
Poor lingard, poor perera no assists no goals.
Mangure mzito kama jabali, ukilipita haliwezi kujeuka.
Martial anakambia kama kuku amekatwa kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mawakala wote wanatamaa kama yeye?Unataka ale mawe? Anakula kupitia mauzo ya wachezaji. Akufaidishe wewe yeye afe njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app