YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
🤣🤣🤣 Rashford Kamaliza Kazii Jinga Hili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Rashfod kakusikiaDk +5 Nyingiii
Leo TukiDraw Lawana Kwa Rashford
Sent from my iPhone using JamiiForums



James anatoa hizo pasi tunapofanya counter attack sanasana..kitu ambacho hatujakifanya sana tunapokutana na timu ndogoMkuu niliwahi kukwambia kuwa James ni muhimu kuliko Rashford ila anaweza asiwe bora kuliko Rashoford.
Tazama dribbling na pasi anazopiga James anapo elekea wapinzani, then mtazame Rashford dribbling anazofanya na pasi anazopiga, pasi nyingi za Rashford zinakua hazina faida anatoa pasi kwa mtu ambaye hayuko kwenye nafasi sahihi or ana dribble mwisho anapoteza mpira.
Yaah tungekuwa mbaliGame approach ya leo OGS kajitaid kwa so called small teams, displine ya leo tungekua nayo against watfod + everton leo tungekua no4 ktk table
GGMU
Goodnight wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway muda utaongea tumpe muda D.James binafsi James ni muhimu kwa sasa kulilo Rashford japo naye Rashford ana mchango wake mkubwa.James anatoa hizo pasi tunapofanya counter attack sanasana..kitu ambacho hatujakifanya sana tunapokutana na timu ndogo
Mchezaji inabidi usiwe na strength moja tu..
Hakuna asiyekubali kuwa James kuna vitu anavyo..ila sio lazima aanze kila mechi,kuna mechi tutahitaji aina nyingine ya uchezaji
Anachezewa faulo nyingi kwa sababu ya speed yakeAnyway muda utaongea tumpe muda D.James binafsi James ni muhimu kwa sasa kulilo Rashford japo naye Rashford ana mchango wake mkubwa.
James ndio mchezaji alie chezewa foul nyingi kwa sasa pale United hii inamaanisha ??
Usiku mwema.
Nyundo wamemuonyesha kocha wao mlango wa kutokea