interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Lile Genge La wahuni wa Mourinho Naona Wamejificha kwenye Mpambano wa AJ
Tony Martial scores again[emoji443][emoji443][emoji443]TONY MARTIAL COME FROM FRANCE
ENGLISH PRESS SAID HE HAD NO CHANCE
50 MILLION DOWN THE DRAIN
TONY MARTIAL SCORES AGAIN
Atakuwa kaamua kutanua goli la @Ollachuga kwa kuhesabia magoli ya EPL pekee.15 si amezikamilisha leo ?
Ule uzi wa kula tunda kimasihara umemjengea confidence sana Ole, kwenda kumla jirani [emoji1787]
Ongeza Man City hapoChelsea
Arsenal
Liverpool
Tot
Watu wengi wali bet vibaya dhidi yetu kwa hiyo chuki zingine inabidi wana man united tuzivumilie wanaumia kwa mengi
kwanini tusiseme hata leo Man united imebebwa zilikuwa ni clear penaltiesIngekuwa liver mngesema anabebwa
Ole kawa lulu. [emoji23] [emoji23]
Small team mentality, kupania timu kubwaManchester United zidi ya team tano zilizo juu
🆚 Liverpool 1-1
🆚 Leicester City 2-1
🆚 Manchester City 2-1
🆚 Chelsea 4-0
🆚 Tottenham spurs 2-1
SwadaktaOngeza Man City hapo
Nyie. mentality yenu ya kushinda zote kubwa na ndogo mbona hatuioni?Small team mentality, kupania timu kubwa
kwanini tusiseme hata leo Man united imebebwa zilikuwa ni clear penalties
Sahau. Ulishindwa kwako uje utufunge Anfield.Sawa tutafanya hivyo, ILA usisahau na wewe tutapiga vile vile
hakuna Manchester iliyowahi kucheza mpira mzuri ukiondoa ya LVGJamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani [emoji23][emoji23]
Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo
Shida mi napenda ukweli sana mkuu
Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap
Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau [emoji23][emoji23]
SotonGame na Bonemouth, Aston villa na Shelfield tulizichezea tungekuwa tumeshamtoa chelsea hapo juu
Aiseee...[emoji848][emoji1]Jamaa wananfurahisha sana wanavyoshangilia humu ndani [emoji23][emoji23]
Wameshinda ndio ila wamecheza mpira mbovu mnoo
Shida mi napenda ukweli sana mkuu
Nawashukuru wametusaidia liva kuongeza gap
Ila wasijione ndo washabeba epl hawa nyau [emoji23][emoji23]
kwamba Anfield kuna goli la opponent tuSahau. Ulishindwa kwako uje utufunge Anfield.