Ole bana kuna mda namchukia mechi 2 hizi nimempenda basi tafrani maisha bila unafiki hayaendi asee. Ila nimeamini tukicheza na timu ambayo iko open tunaitandika sana hawa ilibidi wafe hata 5 leo. Mpaka dakika ya 30+ on target 7 kwa 0
Manchester United zidi ya team tano zilizo juu
π Liverpool 1-1
π Leicester City 2-1
π Manchester City 2-1
π Chelsea 4-0
π Tottenham spurs 2-1
Ukinywa konyagi unadhani kila mtu anakunywa? By the way, nilikuwa katika mapumziko ya sabato, na internet nayo nikapiga pending, ndiyo maana sikuona kama mechi ipo.
Fred wa shakhtar Donetsk aliyekuwa akicheza sambamba na fernandinho alitua kwa mara ya kwanza carrington siku ya jumatano dhidi ya spurs na leo pia yupo dhidi ya city.
Naomba pogba aendelee kupona vizuri hadi may,asiharakishwe kurudi ataumia zaidi.