Leo amerudishwa mkuu..tegemea maumivu makali. Na hawa makocha ndio maana wanatimuliwa, mtu hana juhudi yoyote kwenye timu unamng'ang'aniaaaaa..Now namuelewa ARV kuhusu Martial huyo dogo asugue banch bora Greenwood anapambana kumbuka mechi na Sheffield United.


Malizia, ...na hajawahi kufungwa na timu kubwa.Toka msimu umeanza MAN U hajawahi kushinda mechi mbili mfululizo.
Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha.Hii ni December lingard hugeuka messi.....kipindi hiki afu anapotea mwaka mzima
Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha.
bora myapige tuYes Penalty to Utd
Nani atapiga
Ha ha ha ha Leo kaweka. Nadhani utaacha sasaAnanyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha.