mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
LONG LIVE MAN UTD... chelsea walikua hawajafungwa nyumbani tukakutana nao tukawachapa....man city walikua na unbeaten record ya 2yrs tumekutana nao kichapo tuuuu...hatutaki mchezo
Hizo takwimu kabla ya game zilikuwa zinasema hamjafungwa hapo nyumbani tangu 2010,sasa hivi zinasemaje.Nyie bado ni watoto kwetumi bado na imani tutashinda gemu ya marudiano hapo old trashford maana takwimu zinaonesha tumefungwa hii inayokuja lazima man akae utake usitake we are champion..
RVP sasa anajua yuko kwenye the right team...arsenal were unbeaten in 2005 tukawachapa....sasa hivi anajua kua alichagua timu ya maana..angeenda man city angechemsha....this is man utd and WE R THE BEST
Hizo ndoto za abunuasi, kwani ubingwa unapatikana kwa kuifunga Man Utd tu? Msimu huu mshakalishwa chinimi bado na imani tutashinda gemu ya marudiano hapo old trashford maana takwimu zinaonesha tumefungwa hii inayokuja lazima man akae utake usitake we are champion..
Hizo ndoto za abunuasi, kwani ubingwa unapatikana kwa kuifunga Man Utd tu? Msimu huu mshakalishwa chini
kwa sababu ni wapinzani wetu wa jadi..
hv ni sehemu gan dar wanaandika majina kwny jez na bei zao?