Wikiend muruaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Manure urinated mlishangilia mapema.sanaa
Kuna dalili kubwa hatimaye RVP kubeba EPL msimu huu
EPL huwa ubingwa hauchukuliwi Dec .. .. ... mark my words khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbuka mwaka jana ubingwa mlinyang'anywa
in the last 5 minutes .. ..hadi leo Equilllllpzzzzzzzzzzzzz yupo ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wewe mzee wa kulialia wewe pigania upate nafasi ya champs league,last season tulifungwa game zote na City.Kwenye EPL mshindani wetu mkubwa ni Mancity so kumfunga kuna advantage sana
Keep on dreaming, kama chie tunalialia nyinyi mnafanya nini? Tunawachubiri Emirates wakati wachezaji wetu wote nyota watakuwa uwanjani, nyinyi baraka ya kubebwa na mbeleko tu hamtubabaishi, tena mwaka huu mmejitahidi kuingia kwenye knock out stagrs za CL mlizoea channel 5 kama Chelsick khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .. ... .. .ati unakuja saa hizi wakati mpira umekwisha ulikuwa na ugonjwa wa moyo wewe nenda kapime haraka .. ... ..
hongereni majirani zetu..
Tafuteni kocha ambae atamtimua Baloteli,Mancini timu imemshinda
Hata Judas mlikuwa mnamkandia hivyo hivyo alipowafuata mashoga chacha kono mbele what a waste .. .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee one man team khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kaka ukiwa mshabiki lazima uwe kigeugeu hata wamasajili messi sita hazikaa zirudi..
Ha..ha..ha hayo maneno tu leo tumewatandika ndani ya Etihad kuna siku mtajilengesha Old trafford mtaoga za kutosha.Unbeaten run ndio imefikia ukingoni, Wacha1 maneno meeengi hebu weka mkakati wa kurudisha goli nane kwanza.