mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
:becky::becky::becky::becky: MERRY XMASS MKUUU!!!!
same to yuu!!! :biggrin1:
:becky::becky::becky::becky: MERRY XMASS MKUUU!!!!
Really .... .... ..... results do not lie ... .... ....
Ndio tatizo la kuwa mshabiki ukubwani ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW Wacha1 anakula krismass hivyo alikuwa anachungulia tu ... ... Merry X-mass all kwa mpigo.
Wakuu mbona mapeema... Xmass vipi.mmeshiba nini
Naona Newcastle wameshika kiungo!!
Go Go Go.....newcastle!!
Tulia mambo mazuri taratibu
Mshika kibendera kasukumiwa bahasha ya kaki nini
Leo lakin Dean kawa na akili. Ingekuwa Web lazima angebaki na decision ya linesman!Waamuzi wa Uingereza ni wapuuzi mara nyingi tu na si kwamba wanapewa bahasha
Leo lakin Dean kawa na akili. Ingekuwa Web lazima angebaki na decision ya linesman!