Ovyo kabisaKila kitu United ni majanga, hakuna kwenye afadhali..sio kocha, menejiment na funga kazi kikosi.
Nyumbu anakufa hukuHA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL![]()
Kwa hiyo tukusaidie nini sisi.HA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL![]()
HahahaMkuu kwa heshima na taadhima tunaomba msimamo wa ligi tafadhali.
Tafadhali...
Akifungwa haletiTunaomba msimamo wa ligi
akiongoza hata goli moja unaona kila thread picha ya msimamoTuletee msimamoMbona Ole mgumu hivi kufanya subBrandon William anapigwa red ya pili muda sio mrefu. Ameelemewa kabisa.
Bodi isiposhtuka mapema, Huyu Ole atatumaliza nafasi ya 8 au hata 10. Hana mbinu kabisa






HA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL![]()
anza chap kupanda juu ya ngaziUnited akishinda leo nalala juu ya bati