Ushapewa kidude tayariVijana wanapambana sana. William anazingua sana, anapitwa kujinga sana na kumfanya Jobes ateseke, Ashley Young aingie mapema sana. WALE TEAM MARTIAL WANIAMBIE KAMA WAMEMUONA MARTIAL POPOTE HAPA UWANJANI, NI KAMA TUNACHEZA PUNGUFU YA MTU MMOJA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli huwa mnawapigaWagumu sisi ndio huwa tunapiga...kina Leicester tunapiga kisawasawa
Acha kulaum wachezajiVijana wanapambana sana. William anazingua sana, anapitwa kujinga sana na kumfanya Jobes ateseke, Ashley Young aingie mapema sana. WALE TEAM MARTIAL WANIAMBIE KAMA WAMEMUONA MARTIAL POPOTE HAPA UWANJANI, NI KAMA TUNACHEZA PUNGUFU YA MTU MMOJA.