Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 565
- 656
Leo rashford alikua na magoli 3+Hawezi kuziona hampendi tu,ila chance alizochezea rashford angekua ni martial ungemsikia jamaa vzr
Leo rashford alikua na magoli 3+Hawezi kuziona hampendi tu,ila chance alizochezea rashford angekua ni martial ungemsikia jamaa vzr
Huyo jamaa akili matope..yeye Hana zuri kwa MartialHawezi kuziona hampendi tu,ila chance alizochezea rashford angekua ni martial ungemsikia jamaa vzr
Tuombe Mick awe hajaumia sanaMechi ya leo ilikuwa na 5+ Rashford aisee naona kajilaumu sana leo angejua kawekewa hafikishi goli 15 msimu huu angeongeza juhudi angekuwa anashafika saa hii.
Wakuu James in moto sana yule jamaa kama strikers wetu wengekuwa making jamaa angekuwa na assist za kutosha
Jamaa ni mchezaji wetu hatari kwa sasa maana kila game upande wake lazima wapate kadi either kwa kupenda au kwa kutokupendaKabisa, James ametengeneza nafasi nyingi sana
Mliwafunga ngapi hapo kwenu?Huu ni mwaka wa Livepool, wapinzani wanakanyaga boli mpaka majirani zetu wanaomba poo. Hawa Liverpool kiboko yao ni sisi tu.
NAsubiri comeback hapaHuu ni mwaka wa Livepool, wapinzani wanakanyaga boli mpaka majirani zetu wanaomba poo. Hawa Liverpool kiboko yao ni sisi tu.
Tusogee sogee
Hatukufungwa, wao ndiyo walichomoa kwa shida, game ikaisha 1:1Mliwafunga ngapi hapo kwenu?
Clean sheet ni Kepa tu.Kama kawa hatuna clean sheet
Uyo dgo anaeza akatoboa kumi na tano kama akiendelea kupata penati.
Uyu rashid mwenye miguu ya kushoto???Leo rashford alikua na magoli 3+
Mechi 10 zilizopita chelsea muna cleansheet 2 tu.Clean sheet ni Kepa tu.
Unadhani haujui ukweli huyo? Anajitoaga tu ufahamu.Mechi 10 zilizopita chelsea muna cleansheet 2 tu.
Romero ana cleansheet 30 mechi 49.