barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Manu kama GARI LA MKAA. Leo limepeleka mkaa safari ijayo linaenda gereji.
😞😟Manu kama GARI LA MKAA. Leo limepeleka mkaa safari ijayo linaenda gereji.
Huyu Williams anaweza kuwa fullback mzuri kama Waingereza awajamualjmu. Martial abadilike acheze kiushambuliaji ajitume aongeza speed kama sio hivyo atapata taabu sana kufunga kama mechi ya leo rahisi sana
Kama kawa hatuna clean sheet
Mbona katoa assist mbili?
3 Points then Clean sheetCleen Sheet au Points 3 kipi cha muhimu mkuu?
Perreira anaweza kumpisha Pogba vile vileFred anahitaji kuaminiwa tu, uwezo anao
Tatizo kirusi akiwa fit, jamaa atarudishwa benchi
Ngoja nikuitieSiku hizi stats za magoli haziwekwi kabisa humu, sijui kuna shida gani
Hata kommententa kasema kuwa ni bora Pogba akirudi acheze kama no 10Fred anahitaji kuaminiwa tu, uwezo anao
Tatizo kirusi akiwa fit, jamaa atarudishwa benchi