Mbona mi nimeona martial katoa pasi ya goliPereira kafunga dakika ya 15...Martial hajagusa mpira mpaka saa hii, pumbaf sana.
Mbona mi nimeona martial katoa pasi ya goli
Wewe mpira hujui..tena usiquote tenaPereira kafunga dakika ya 15...Martial hajagusa mpira mpaka saa hii, pumbaf sana.
Nadhani ni wanajeshi waliofariki ndo wanaokumbukwaNaomba kujua hii heshima iliyotolewa kabla ya mechi ni kumbukumbu ya Jambo gan
Mpira sijui...UNAONA THUNDERBOLT ZA PEREIRA, wewe unajua niambie Martial kafanya nini. Hatuhitaji ubishoo kwenye timu yetu.Wewe mpira hujui..tena usiquote tena
Goli gani lile??..
Usijali muhimu ushindi.... unaweza ukatengeneza move nzuri zinaishia kugonga besela... pia kumbuka tulikua na uropaMbona kama magoli ya kubahatisha wakuu
Pereira kafunga dakika ya 15...Martial hajagusa mpira mpaka saa hii, pumbaf sana.
Pereira kafunga dakika ya 15...Martial hajagusa mpira mpaka saa hii, pumbaf sana.
Nadhani ni wanajeshi waliofariki ndo wanaokumbukwaNaomba kujua hii heshima iliyotolewa kabla ya mechi ni kumbukumbu ya Jambo gan
Kila mwaka kunzia tarehe moja mpaka 11 ya november, Uk huwakumbuka mashujaa wao, waliopigana kwa njia moja au nyingine mpaka sasa lipo taifa la uingereza. Sherehe hizo hufikia tamati tarehe 11 ya november kia mwaka. Ni sikukuu ya kukumbuka mashujaa kwa jina lingine.Naomba kujua hii heshima iliyotolewa kabla ya mechi ni kumbukumbu ya Jambo gan