Kiukweli kabisa Manchester United yangu kwa sasa kila kitu ktk mwenendo Wa timu wanafanana sana na timu yangu nyingine ya YOUNG AFRICANS. OLE Gunar anaendana kabisaaa na Mwinyi Zahera. Anayetazama kwa ndani zaidi atakubaliana na Mimi. Hivyo basi, Ole hawezi irudisha Man U kama watu wanavyoamini mana hana huo uwezo, vilevile Yanga ili isonge Zahera inabidi afukuzwe fasta.