Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern siku hizi hamna kitu
 
Eeee atafungwa zote..Si big six tu!
 
Man Utd bila penalty za mbeleko ni mweupe sana kama pumba za nafaka
Ingekuwa chelsea hajawah kufungwa na united point yako ingekuwa na mashiko

Herrera na pogba walikutandika mbili bila hapo darajani

Martial alikufunga 2 hapo darajani mkasawazisha dakika ya 96 huko ina maana mlikufa sioni jipya kwa chelsea

Mnafikir sisi ni ajax sio?
 
Rashford

Form v/s Class

Form temporary
Class permanent

Question: Where is Tammy Abraham now?
Answer: Form is temporary

DJ & Mc Tommy ni Class

The rest (Rashford and c.o) ni form that's why sometime yes, sometime no.
Yule abraham hana tofauti na ihenacho utokaji wao
 
Fred alianza taratibu sana baadae akakaa sawa pia upigaji wa pasi bado sio makini sana naona kwa sasa ni upigaji wa pasi kwa usahihi tu ila scott naona anazidi kuimarika kila siku anakata umeme haswaaaa
 
Mnashinda kombe la mbuzi mnaongea sana ngoja ligi ianze mnyooshwe
 
Fred alianza taratibu sana baadae akakaa sawa pia upigaji wa pasi bado sio makini sana naona kwa sasa ni upigaji wa pasi kwa usahihi tu ila scott naona anazidi kuimarika kila siku anakata umeme haswaaaa
Scott ni hatari sana yule dogo, anajua kukaba na kuanzisha mashambulizi.
hata dogo William jana amecheza vzr pia.. Martial ndio bado analeta urembo vitani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…