Dah Rashford kakosa penati
Pereira yupo uwanjani lakini Rashford anaachiwa apige penalty. Safi sana,acha akose.😂😂 |
Hivi hii spirit ya Liverpool wameipata wapi inanikumbusha enzi za kina Rooney na RonaldoHiki ki mtu kilichofunga hili goli kina mkosi balaa kichapo au suluhu labda Mungu atuone
Pereira yupo uwanjani lakini Rashford anaachiwa apige penalty. Safi sana,acha akose.😂😂
Come on Norwich
Kila la kheri timu yangu Norwich ..
Mkuu, na siku ambazo Rashford anazofunga penati mbona hatulalamikagi?
Maana yangu ni kwamba Rashford ni mbahatishaji lakini fundi wa hiyo kazi ni Pereira. Kama Pereira na Mata wapo uwanjani Rashford kujaribu kupiga mipira iliyokufa ni sawa na uhujumu timu. |
Zinarudi izo..Sio Kila siku ni ijumaa mkuu
Norwich 0 - 2 UTD
Kweli mkuuHivi hii spirit ya Liverpool wameipata wapi inanikumbusha enzi za kina Rooney na Ronaldo
Daaa noma aiseee isikutegeuka kipindi cha pili hii ngomaDuh Martial naye kakosa penati
Mambo gani haya, huyu kipa kaokoa penati mbili
Nakuona mvimba macho unavyoumia kwa moshi wa kuni mbichi au unakata kitunguu nini?Zinarudi izo..
Puki ata fanya kweli..
Wachezaji awapo serious banaLeo miguu yenu ina nini mnakosa penalty
Tunaelekea kumsahau Kirusi Pogba..
Hivi jamaa injury gani inayomsumbua kiasi hiki??
Naona leo nyota ya penati imewaangukia..Nakuona mvimba macho unavyoumia kwa moshi wa kuni mbichi au unakata kitunguu nini?