D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
chelsea upo on fireeeKumbe kamanda wewe ni mshabiki wa man u pole Sana kijana.
chelsea upo on fireeeKumbe kamanda wewe ni mshabiki wa man u pole Sana kijana.
Vp ile series nilikuambia vp umeimalizachelsea upo on fireee
Ingebidi iwe hivi..wanatunyima burudani hawa watu..sema mimi nitakomaa na Timu yangu japo ni tiatia maji
- liverpool na totenham wiki hii wamecheza jumanne na jumatano hivyo basi ulikuwepo uwezekano wa mechi yao kuchezwa saa 8:30 kwa saa za Afrika Mashariki
- kati ya arsenal na manchester united mmoja wao akacheza saa 11 jioni.
- halafu mwengine akamalizia saa 1:30 usiku.
Hiyo midfield ya kina Tominay, Fred na Pereira inatupa prospect nzuri huko mbeleni ili kuiturn lethal zaidi mwalimu anahitaji kuwajengea Confidence, na winning mentality.Pogba hayupo mkuu? Scott namkubali ila bado sana kwa level ya hii timu panatakiwa kiungo mzoefu kuanzia 26 years ndio yaleyale ya arsenal na matteo wao madogo wazur ila sio level za wakina kovasic ambao tayar wameiva chelsea viungo wao wengi wazoefu lampard hapati shida sasa pereira tena
Inasikitisha
Tunajua ili uwe bora ni lazima ujilinganishe na waliokuzidi sana, tumekuelewa mkuu. |
Angalia timu zenye akil achana na iyo Manure!!Ingebidi iwe hivi..wanatunyima burudani hawa watu..sema mimi nitakomaa na Timu yangu japo ni tiatia maji
Acha tuone..
Mkuu hizo mido zetu bado sana aisee,tutadanganyana tu..
Hizo ni facts tu mkuu, just relax
Tunajua ili uwe bora ni lazima ujilinganishe na waliokuzidi sana, tumekuelewa mkuu.
Hizo ni facts tu mkuu, just relax
By the way hamna mlichotuzidi kwa sasa, Chelsea ni bora zaidi yenu. Mna mengi ya kujifunza kutoka kwetu
Huoni aibu kujilinganisha na baba yako? Nyie ndio wale watoto huambia wazazi wenu "ningewahi kuzaliwa ningekuzaa wewe" Hebu chukua kwanza makombe 20 ya EPL ndio uje hapa kutuambia tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu. Tena usirudie kabisa kujilinganisha na sisi,utakula mikofi ya shingo humu,huna adabu! |
Pukki amekua kimya kwa mda mrefu, leo itakua ni siku yake lazima atupie 2
Unajivunia historia wakati future yako huijui
Huoni aibu kujilinganisha na baba yako? Nyie ndio wale watoto huambia wazazi wenu "ningewahi kuzaliwa ningekuzaa wewe"
Hebu chukua kwanza makombe 20 ya EPL ndio uje hapa kutuambia tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu.
Tena usirudie kabisa kujilinganisha na sisi,utakula mikofi ya shingo humu,huna adabu!
Unajivunia historia wakati future yako huijui
Shame on you
Nafikiri umeelewa vizuri sana,na umekoma. |
Hamna kitu yule upepo ushakataEriksen wa tote yuko sokoni
Kila uchafu lazima uletwe kwa baba yenu sisi ndo role model wenu habar haiwez kuwa habar bila kuwahusisha wakubwa
HawezPukki amekua kimya kwa mda mrefu, leo itakua ni siku yake lazima atupie 2
Hahahah kamaindi
Nafikiri umeelewa vizuri sana,na umekoma.