Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,299
- 46,753
Umemaliza..Vipi kuhusu future....???? Mwisho wa msimu, 2 to 5 years to come?
Kwamba mchezaji wa United aitamani Leicester au Cristal Palace kisa kwa sasa wanafanya vizuri
Akina Kante, Drinkwater waliacha timu yao ikiwa bingwa mtetezi, wakaenda Chelsea
