DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Aaaah kubahatisha ndio upigwe 4, big NOLampard ulimbahatisha usijsifu sana watu watakucheka.
Aaaah kubahatisha ndio upigwe 4, big NOLampard ulimbahatisha usijsifu sana watu watakucheka.
Fact angeambulia hata suluhu na liverpool pale darajani tujue mech kubwa ana muduAaaah kubahatisha ndio upigwe 4, big NO
Ni timu kubwa yes. Ipo UEFA hata sasa.Red star brigedi alikuchapa 2-1 unaweza kuona kama hiyo timu ipo kwenye raman ya soka
Teh teh teh ... furaha iliyoje. Mzee wa kazi, haupo UEFA msimu huu wala uliopita haukuwemo na hata huo ujao hata Europa ni gambling. We are not on the same level. Malizana na Party huko kwanza, ukaambue sare maana ndo ushindi wenu nowadays.Unajua liverpool imepeta mashabiki wengi washamba baada ya ujio wa klopp hasa hutu tumiaka tuwili 2018 na 19 kuna wewe na jamaa yako fulani hivi wale wajuz wa mpira wanajua timu yao mbio zake na ndio maana huwa wanakuja hapa nadra
Manchester united pamoja na mwendo wake mbovu toka 2013 had sasa lakin bado ana mafanikio ya vikombe vingi kuishinda liverpool mnayotamba ni bora toka asepe sir alex bisha hilo nishakupa hapo juu
Hata kombe alilochukua liverpool la uefa ni past ndio maana mashindano ya uefa yameanza kumtafuta bingwa mpya sijui kama unatambua hilo au liverpool kachukua leo?
Leicester 3rd in table after getting rid of Maguire Swansea 4th after getting rid of James. Crystal Palace 6th after getting rid of Bissaka. Man Utd 13th after acquiring all of them.
3+4+6=13
![]()
Twitter ina ma genius wa kila kituWatu wanakuwa Magenius kweli katika ubunifu wa mambo
Ni timu kubwa wapi?yaani eneo gani? Maana hata Abajalo Fc ni timu kubwa huku kwetu sinza....Ni timu kubwa yes. Ipo UEFA hata sasa.
Ngoja yakukute mkuu,huu ugenius hautouona ,kila ukiona post kama hizi utatamani uzime simuWatu wanakuwa Magenius kweli katika ubunifu wa mambo
Inashiriki UEFA?Ni timu kubwa wapi?yaani eneo gani? Maana hata Abajalo Fc ni timu kubwa huku kwetu sinza....
Pepe ana kitu gani haswa?? Ukosefu wa nguvu za miguuni au?Sasa Origi utamfananisha na Pepe?maana lengo lake na yeye ilikuwa kujifananisha mpaka rasta kanyoa ila wapi.....Origi ni Miraji Athuman anayeishi Europe
Huyo jamaa kaonjeshwa asali miaka hii miwili anatamba wakat timu yenyewe ya kawaida tuNi timu kubwa wapi?yaani eneo gani? Maana hata Abajalo Fc ni timu kubwa huku kwetu sinza....
Kumbe kushiriki uefa ndio timu kubwa mashabiki uchwara hawa liverpool upo wewr na mwenzio jina nimemsahau huwez kukuta upupu kama huu kwa wakina king ngwabaInashiriki UEFA?
Umesoma heading lakin?
3 - 4 - 3Fursa ya kumuona Garner kwenye midfield View attachment 1243473
Vikosi vyenye thamani. Au kuna kingine boss?Umesoma heading lakin?
Kumbe jamaa uko empty sana boss. Hakuna timu barani ulaya ambayo ni kubwa na isiwepo UEFA over and over, Kushiriki ni moja ya an indicator of how giant you are.Kumbe kushiriki uefa ndio timu kubwa mashabiki uchwara hawa liverpool upo wewr na mwenzio jina nimemsahau huwez kukuta upupu kama huu kwa wakina king ngwaba
Tayari penalty boss.
Hii game bila kuingia Daniel James hatupati matokeo. Hii timu ni mbovu.