Hivi Man. Utd kuliko kutoa pesa kwa Mandzukic si bora tuchukue Lewandowski maana kila kukicha huyu mzee lazima afumanie nyavu. Ktk umri wa miaka 31 ni mzuri sana akija pale OT anakaa pale kati alf wale watoto pembeni naimani itakuwa hatari sana yule Rashford mzuri sana akitokea pembeni. Huyu mzee ana mkataba hadi June 2023 ila tukivunja kibubu anaweza tua kutupa support. Akifikisha miaka 33 naimani itakuwa tushapata striker mwingine mdogo labda msimu ujao tunaleta kachalii kanaanza kupiga vi-carabao vile mwisho wa siku Lewandowski anasepa anaingia mtu mpyaaa. Hii barua sijui Solskjær na Ed-Woodward wataiona!
Kwa akili yako unadhani Bayern watamuuza? Au huyo Lewandowski atakubali kuja timu inayoshuka daraja?
 
Sasa mfano Rashid akatua pale Liverpool ..atacheza tu moja kwa moja fest XI? Mimi na uhakika orig akija OT atakipiga mwanzo misho fest XI
Orig hana toafaut na lukaku sema kachangamka ikiwa tumefukuza lukaku ambae premier league ana goli zaidi ya 150 orig ni nani? Hiv zile bahat za barcelona mnafikir zipo kila uchwao et?
 
Leicester 3rd in table after getting rid of Maguire Swansea 4th after getting rid of James. Crystal Palace 6th after getting rid of Bissaka. Man Utd 13th after acquiring all of them.

3+4+6=13
Hapa anaumia mshabiki wa chelsea yaani hadi kaanza na calculation unaumiza akili kwa timu ambayo haikuhusu na hesabu juu brother unapata wapi muda wa hovyo hivi?
 
Orig hana toafaut na lukaku sema kachangamka ikiwa tumefukuza lukaku ambae premier league ana goli zaidi ya 150 orig ni nani? Hiv zile bahat za barcelona mnafikir zipo kila uchwao et?

Origi hapo Everton tu hapati namba
 
IMG_6504.JPG
 
Kama nakuona unaandika huku roho inauma kwa ukweli. Yan nafsi inakusuta
Mi roho haiumi najua mwenendo wa timu na aina ya usajili ila kama unamsajili mess au ronaldo unapata matokeo mabovu lazima upagawe angalia na kikosi chako unaweza kujiua huwez kuwa na matarajio makubwa kwa kiungo cha scott bado mdogo ana cha kujifunza
 
Back
Top Bottom