Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo letu kubwa ni kiungo,then ndo sehemu nyingine..why hatuwezi kucontrol mechi vizuri..ni maback pass tu..upuuzi mtupu

Martial naye anatroti kigentleman tu uwanjani..

Bissaka inabidi azidishe umakini na bidii,tunahitaji kumuona akishambulia pia vizuri kipindi timu inapopanda mbele

Acha tuone second half itakuwaje
 
Kumbe jamaa uko empty sana boss. Hakuna timu barani ulaya ambayo ni kubwa na isiwepo UEFA over and over, Kushiriki ni moja ya an indicator of how giant you are.

So you are here comparing Red Star na Partizan na Az Alkmaar ilokutoa kamasi juzi?
Bro kushiriki UCL sio kigezo kuwa timu ni Giant, tukiongelea Uefa Champions Leagues tunaongelea best football clubs in Europe (kwa muda huu) na sio Giant football clubs in Europe. Leo hii hadi KRC Genk yupo UCL unataka kuniambia ni giant!? Tukisema UCL iwe ya ma-Giant tu si tutawakuta Manchester United, Arsenal, AC Milan, Celtic, Benfica, Rangers, Steaua București hao akina Liverpool, Barcelona, Real Madrid n.k. Ila kwakuwa UCL ni kuhusu mabingwa basi hao unaowaita ma-giant wengine hawastahili ila kwakuwa tu ni mabingwa na ni bora kwa wakati huu ndo maana wapo hapo.
 
Kwahiyo ticket ya ukubwa ni kushiriki UEFA tu????

Kwahiyo Man utd ni timu ndogo kwa Genk,Slavia Praha?
Hahahahahahah uwage na aibu walau kidogo
Jifunze kutulizaga akili mzee kabla tu ya kunena. Kwahyo upo hapa ili tubishane kwamba Abajalo ni timu kubwa ama? Maana sijaelewa nn unaongea au sbb wewe n shabiki wa timu ambayo haijawahi beba UCL hata mara moja? ... naongelea ulaya we unaniambia mambo ya Abajalo ya kwenu Sinza.
 
Bro kushiriki UCL sio kigezo kuwa timu ni Giant, tukiongelea Uefa Champions Leagues tunaongelea best football clubs in Europe (kwa muda huu) na sio Giant football clubs in Europe. Leo hii hadi KRC Genk yupo UCL unataka kuniambia ni giant!? Tukisema UCL iwe ya ma-Giant tu si tutawakuta Manchester United, Arsenal, AC Milan, Celtic, Benfica, Rangers, Steaua București hao akina Liverpool, Barcelona, Real Madrid n.k. Ila kwakuwa UCL ni kuhusu mabingwa basi hao unaowaita ma-giant wengine hawastahili ila kwakuwa tu ni mabingwa na ni bora kwa wakati huu ndo maana wapo hapo.
Nashukuru mkuu, mistari miwili ya mwisho imenipa majibu maridhawa.
 
Kuna mchezaj aanze kutafuta shughuli ya kufanya taratibu wenye damu ya manchester united wanaanza kuja kuna scott na huyu williams
IMG_20191024_215135.jpeg
 
Jifunze kutulizaga akili mzee kabla tu ya kunena. Kwahyo upo hapa ili tubishane kwamba Abajalo ni timu kubwa ama? Maana sijaelewa nn unaongea au sbb wewe n shabiki wa timu ambayo haijawahi beba UCL hata mara moja? ... naongelea ulaya we unaniambia mambo ya Abajalo ya kwenu Sinza.
Huna akili wewe bure kabisa.....
 
Back
Top Bottom