ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
Maguire afundishwe, sio kila mpira ni wa kurudisha kwa kipa.Nimependa formation ya leo yan rorbetson na anold hawapand
Maguire afundishwe, sio kila mpira ni wa kurudisha kwa kipa.Nimependa formation ya leo yan rorbetson na anold hawapand
Victor sijui anashida gani yani mipira ikija ya juu anapagawa kabisa hawezi kuiwin.
Ndio weakness yake kubwa, na sijui ilikuwaje akawa position ile na yeye anatakiwa awe kulia, Var imetusave.Victor sijui anashida gani yani mipira ikija ya juu anapagawa kabisa hawezi kuiwin.
N kwel ndio weakness yake ila kwa striker aggressive n bora acheze tuanzebeNdio weakness yake kubwa, na sijui ilikuwaje akawa position ile na yeye anatakiwa awe kulia, Var imetusave.
Victor sijui anashida gani yani mipira ikija ya juu anapagawa kabisa hawezi kuiwin.
Hiki ndio kitafanya Tuanzebe achukue namba yake mapema sana. |
N kwel ndio weakness yake ila kwa striker aggressive n bora acheze tuanzebe
Huyu fred tulipigwaFred ni tatizo ni shida kubwaaaaaa...hakuna sub pumbaf sana.
Hamna bek muleVictor sijui anashida gani yani mipira ikija ya juu anapagawa kabisa hawezi kuiwin.
Ha ha haa,mnashindwa kulinda ushindi dk 5 za mwisho.timu mbovu imepata ushindi wa drooKadri dakika zinavyoenda, Liverpool wanazidi kuchanganyikiwa, full frustration.
Naomba msimamo wa EPLFred ni tatizo ni shida kubwaaaaaa...hakuna sub pumbaf sana.

dakika 5 tu dah.