Mkuu nafikiri team ya Ferguson pamoja na uimara wake bado sajili nyingi nilikuwa tia maji tia maji.Mkuu ni kweli mwishoni baada ya Ronaldo hatukusajili sana, ila nilikuwa namjibu tu jamaa kwamba alipoondoka kenyon still timu ilikuwa inasajili vizuri 2003 mpaka 2008 yalikuja majembe mengi sana.
Kwa wasiofahamu Fergie Alikuwa ni team manager na sio kocha kama tulio nao sasa. Mara nyingi kocha msaidizi ndio alikuwa kila kitu man u, kwa kipindi hiki nilichotaja msaidizi alikuwa ni Carlos Queiroz ambaye ndio aliwaleta wareno wenzake, na jamaa ndio yupo responsible kumkuza Ronaldo hadi kuwa legend, aliwaleta watu kama Nani, Anderson, Kleberson etc timu yetu ilijaa wareno/watu wanaongea kireno wengi.
Queiroz aliondoka 2008 nafasi yake ikachukuliwa na phelan pamoja na Rene maulensteen kama first team coach,na Approach ikabadilika Rene yeye ni mholanzi tukaanza kuona kina Butner, Rvp etc na phelan nae na waingereza wake ndio ukaona na usajili nao umebadilika.
Wengi wanamlaumu Fergie ila alituachia watu 24 waliokuwa nyuma yake wanaoijua club nje ndani, moyes alipokuja kitu cha kwanza aliwafukuza na kuja na watu wake hapa ndio tukapoteza mwelekeo kabisa, na Ed yeye hajali anaangalia tu mapato taratibu timu ikapoteza mwelekeo na identity tukawa tunasajili sajili tu hatueleweki, Man u ikafanywa tu sehemu ya watu kuchukua mishahara minono na kuondoka.
Na kutomsajili Tevez nafikiri lilikuwa ni suala zuri, 3rd party ownership ilikuwa ni cancer kwenye mpira, na fergie siku zote alikuwa against na vitu kama hivi ndio maana alikuwa hazipandi na Raiola, tevez alivyoenda city walifungana magoli na Berbatov wakashare kiatu, na Rooney pia Alistep up misimu miwili mmoja alifunga goli 39 na mwengine 40 ama 41 kama kumbukumbu zipo sahihi, hivyo forward yetu haikuwa mbaya kivile japo pengo la Ronaldo lilikuwepo.
View attachment 1230778
Ila kwenye midfield ndio ilikuwa tia maji tia maji, nakumbuka kuna kipindi hadi giggs akawa midfield ya kati, tukamrudisha na scholes alipokuwa amestaafu, Na kipindi kile ndio fergie akasema duniani anaona midfield watatu tu wanaoweza kucheza pale united (tetesi ni Modric, Ericksen na sneidjer)
Developing.View attachment 1230803
Mkuu usisahau Arsenal Invicible na chelsea ya Mou, kipindi hiki hakukuwa na Top 6 lakini ligi ya uingereza ilikuwa vizuri sana na ndio jina la top 4 lilipoanzia. Kwa miaka mfululizo kuanzia 2005 hadi 2008 timu ya uingereza ulikuwa huikosi fainali champions league.Mkuu nafikiri team ya Ferguson pamoja na uimara wake bado sajili nyingi nilikuwa tia maji tia maji.
Nimesema mwanzo kuwa kipindi cha 2000- 20008 ushindani epl haukuwa mkubwa kama sasa kwani kulikuwa na team chache sana ambazo ni title contender leo hii unazungumzia timu nyingi zimewekeza sana na pressure ya ligi imeongezeka.
Ferguson kwenye dressing room yake aliweza kumaintain strong personality za class of 92 na wachezaji wengine kama kina Ferdinand na Nemanja Vidic, Wayne Rooney etc.
Lakini hebu jaribu kuanzia 2008 upwards mchezaji gani pale Man united aliyesajiliwa akaja kuwa top level player ? Wengi walikuwa back up players ukiondoa Van Persie na Berbatov.
Kuanzia kipindi hicho ushindani wa ligi ulimpush Ferguson kuanza kusajili complete players lakini wengi walidumu kwenye team kwa muda mfupi tu.
Hebu jaribu kuangalia incidence za usajili wa Eden Hazard, Lucas Moura, Luca Modric na Wesley Sneider ulivyokuwa handled pale Man united.
Yawezekana kweli man united iliendelea kufanya vizuri sokoni kwa Ushawishi wa club na Kocha aliekuwepo kipindi hicho. Hauoni Kenyon alivyoibadili Chelsea ndani ya msimu mmoja tu ?
CommentsJana nimeangalia timu ya Taifa ya uingereza kwa vile vichezaj ambavyo vinatajwa kuja kwenye hii timu walah tutakuwa blackburn rovers tena





Mkuu nafikiri team ya Ferguson pamoja na uimara wake bado sajili nyingi nilikuwa tia maji tia maji.
Nimesema mwanzo kuwa kipindi cha 2000- 20008 ushindani epl haukuwa mkubwa kama sasa kwani kulikuwa na team chache sana ambazo ni title contender leo hii unazungumzia timu nyingi zimewekeza sana na pressure ya ligi imeongezeka.
Ferguson kwenye dressing room yake aliweza kumaintain strong personality za class of 92 na wachezaji wengine kama kina Ferdinand na Nemanja Vidic, Wayne Rooney etc.
Lakini hebu jaribu kuanzia 2008 upwards mchezaji gani pale Man united aliyesajiliwa akaja kuwa top level player ? Wengi walikuwa back up players ukiondoa Van Persie na Berbatov.
Kuanzia kipindi hicho ushindani wa ligi ulimpush Ferguson kuanza kusajili complete players lakini wengi walidumu kwenye team kwa muda mfupi tu.
Hebu jaribu kuangalia incidence za usajili wa Eden Hazard, Lucas Moura, Luca Modric na Wesley Sneider ulivyokuwa handled pale Man united.
Yawezekana kweli man united iliendelea kufanya vizuri sokoni kwa Ushawishi wa club na Kocha aliekuwepo kipindi hicho. Hauoni Kenyon alivyoibadili Chelsea ndani ya msimu mmoja tu ?
Harry Kane bila Penalty, Jina lake linaeza lisitajwe!
Hazard alitamka kwamba timu itakayobeba uefa ndo ataenda ..ikatokea wanaume tukawa mabingwa basi ndo mchiz akatimba ndan ya Stamford Bridge... Daraja takatifu..Ukweli ni kwamba kulegalega kwenye usajili Man united ilianza zamani tu mathalani usajili wa Wesley Sneider, na Luca Modric ulikuwa uzembe wa mabosi wa united.
Hazard alichagua kwenda Chelsea ndiyo man united wakaenda kumsajili Shinji Kagawa. Haya ya woodward ni mwendelezo tu wa incompetence ya Man united kwenye usajili.



Hahahah iyo Amani wataipata tu jiandaeni kisaikolojia..Hii weekend mpo na amani sana kwavile EPL hamna ,kuleni utawala maan weekend zijazo hamtokaa kwa aman tena
Ferdinand naye kaanza kupiga U-turn sio??Rio ferdinand:"unanunua mchezaji kutoka swansea na wengi walitegemea huyu atakuja kung'aa kwa baadae na wengi walihisi huyu ndo sub ila cha ajabu ndo mchezaji wakutegemewa kwasasa na ndo mchezaji anaeonesha hali kabisaa na hii nadhani inaonesha kwajinsi gani man utd wachezaj wake wasasa walivyo."
Find another place to vomit these nonsenses.Hivi ninyi Kila Siku munaijadili hii timu yenu na bado inakung'utwa tu huwa munajadili nini hasa?
Ole wenu ..
Heri kwetu![]()
Kila la kheri Chelsea![]()
Valencia na Young wamekuja kuwa boko baada ya Ferguson kuondoka, ila alipokuwepo walikuwa ni wachezaji muhimu sana na kama valencia amechangia kwa kiasi fulani kwenye makombe mawili ya mwisho amabapo alitoa assist nyingi sanaIla mkuu valencia sio Boko, jamaa alikuwa na chenga moja ila kwa msimu anakupa assist za kutosha. Msimu wa 2011/12 jamaa alikuwa na assist 13, kuna mafundi kibao Epl hizo assist wanazisikia tu.
mkuu jamaa hapo anamtetea rafiki yake OGS kwa mafanikio yake ya usajili.Ferdinand naye kaanza kupiga U-turn sio??
Ferdinand naye kaanza kupiga U-turn sio??
Gareth Southgate says some of his players aren't playing well for their clubs...
https://t.co/W47hIqkLjlNgoja tuone kama atakuwepo hadi january kwenye transfer market atafanyaje tena..mkuu jamaa hapo anamtetea rafiki yake OGS kwa mafanikio yake ya usajili.
anatuaminisha ya kwamba kama ole atapewa muda basi tutafaidika na sera yake ya usajili
Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana
Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron