Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa
Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,
Yaani ni vichekesho vitupu,
Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa
Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m
Wizi mtupu waingereza