Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Man United have the highest wage bill ever reported by Premier League club https://t.co/eOkreYhhnh https://t.co/MOAXdkK9Tg
Naona man u mmejisahau sana, shukuruni uwepo wa international break umewafanya mtoke na vitambi, next weekend tabu itaendelea tena itakua ni kilio na kusaga meno
Ole must stay, ED must go.... And we need DOF![]()
Mkuu mbona unaimba taarabu?Hivi ninyi Kila Siku munaijadili hii timu yenu na bado inakung'utwa tu huwa munajadili nini hasa?
Ole wenu ..
Heri kwetu![]()
Kila la kheri Chelsea![]()
Latest football gossip: https://t.co/7KLpDTgS7H https://t.co/kkmYMN6Wwv
wazeee wa OGS style njooni mara moja, lukaku hawezi kucheza mfumo wa OGS kwa sababu hana speed na anapenda kusimama.Manchester United 'will have to spend £10m' if they want to sign Mario Mandzukic in January, but the player has already 'reached a verbal agreement' with the club.
Latest football gossip: https://t.co/7KLpDTgS7H https://t.co/kkmYMN6Wwv
wazeee wa OGS style njooni mara moja, lukaku hawezi kucheza mfumo wa OGS kwa sababu hana speed na anapenda kusimama.
huyu mandzukic ana utofauti gani na lukaku kama hii habari ina ukweli wowote?
Waliosema Lukaku hana mbio walidanganyawazeee wa OGS style njooni mara moja, lukaku hawezi kucheza mfumo wa OGS kwa sababu hana speed na anapenda kusimama.
huyu mandzukic ana utofauti gani na lukaku kama hii habari ina ukweli wowote?
Inaonekana hivyo.Naona man u mmejisahau sana, shukuruni uwepo wa international break umewafanya mtoke na vitambi, next weekend tabu itaendelea tena itakua ni kilio na kusaga meno
Danny Mills.ndo tume fikia apaView attachment 1233038
Tulisema humu huyu jamaa asijeleta visingizio baadae,ona sasa tunavyoenda na wazee hawa.Hizi story za Madzukic zinanikera sana
Tulisema humu huyu jamaa asijeleta visingizio baadae,ona sasa tunavyoenda na wazee hawa.
Kama sio mfuatiliaji wa mpira ukiiangalia Manchester United unaweza fikiri ni Yanga.