D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
abraham ni mfungaji hodari kuliko rashford.
Ollachuga Oc
Ollachuga Oc


Hakuna muunganiko Kati ya viungo na washambuliaji..kila mtu anacheza kivyake..Hii timu asee hadi inatia uvivu kuangalia ukitoa penalty hatujarudi tena kwenye penalty box.![]()
Kati ya game 5 tumepata penati game 4. Tumefunga penati 2 na kukosa 2. Hii inaonyesha hatupotezi mechi kwa kukosa bahati, bahati ipo ila kuna mambo ya hovyo kwa kocha na wachezaji.Hii timu asee hadi inatia uvivu kuangalia ukitoa penalty hatujarudi tena kwenye penalty box.![]()
Hii timu asee hadi inatia uvivu kuangalia ukitoa penalty hatujarudi tena kwenye penalty box.![]()
Hamna timu hapo mkuu, naangalia mpira nikijua goli linarudi muda wowote. |
abraham ni mfungaji hodari kuliko rashford.
Ollachuga Oc
Hawa Wolves kumbe wepesi sana.
Lampard anamshinda.Utadhani ni timu iliyopanda ligi msimu huu.
Ole bana!
Rashford ni average player.
chelsea ya lampard lilikuwa suala la muda tu inakaa sawa,sababu unaona kabisa pattern ya uchezaji. Huyu ole sijui anadhamira gani mwisho wa msimu.Lampard anamshinda.
Hajasaili ila anafanya kitu.
Kuna mechi tumecheza vizuri na hatukupata point 3 na mechi tumecheza vibaya tumepata point 3. Ushindi muhimu Sana huu hasa kuongeza morali ya wachezaji. Tumeshaingia top 4.Tumeshinda, point 3 muhimu tumepata. Ushindi ni ushindi tu ila haujaleta furaha, kwakuwa haujatupatia natumaini ya baadae kwasababu performance ni mbovu mno. Huu mwaka mchungu sana.