Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aiseeehhh ingekuwa vizuri kama bwana Eddy angekuwa humu jf akasoma hii nondo ili aruhusu ujio wa DoF ili kunusuru watu kujinyonga na kupata vidonda vya tumbo...

Hahahahahahaaaaa
Man u bado hawajauona umuhimu wa DoF

Angalia Ocampos alivoitengeneza ile Monaco


Mwangalie monchi na sevilla

Mwangalie andrea berta na attletco madrid

mwangalie Michael Edwards na liver

Mwangalie Edu Gaspar anaivyoiunda Arsenal

Mwangalie Txit Anavyoleta watu wanaoingia kwenye falsafa ya tik taka pale city.

Kama hela man u kila dirisha anamwaga , mpaka sasa anafukuzana na man city kwa kuspend


Kuna nafasi vilabu vingi haviipi uzito ila ni ya muhimu sana sporting director


Ukiwa na kichwa hutopata tabu katika Transfers.
 
Man u bado hawajauona umuhimu wa DoF

Angalia Ocampos alivoitengeneza ile Monaco


Mwangalie monchi na sevilla

Mwangalie andrea berta na attletco madrid

mwangalie Michael Edwards na liver

Mwangalie Edu Gaspar anaivyoiunda Arsenal

Mwangalie Txit Anavyoleta watu wanaoingia kwenye falsafa ya tik taka pale city.

Kama hela man u kila dirisha anamwaga , mpaka sasa anafukuzana na man city kwa kuspend


Kuna nafasi vilabu vingi haviipi uzito ila ni ya muhimu sana sporting director


Ukiwa na kichwa hutopata tabu katika Transfers.
DOF ni nani mkuu?
 
hizo takataka ameendelea kuziweka yeye bila ya kuwa na sababu za msingi za kimfumo.
baadhi yao amewapa kandarasi za miaka 3

lingard = huenda akapewa mkataba mpya kwa mujibu wa taarifa
phil jones = amempa mkataba mpya
ashley young =amempa mkataba mpya
chris smalling = amempa mkataba mpya
adreas perreira = amempa mkataba mpya
juan mata = amepewa mkataba wa miaka 3
marcos rojo = bado ameendelea kuwepo
marcus rashford = umri unamruhusu kupewa kwake mkataba mpya ila mshahara wake hauendani na uwezo wake, haiingii akilini umlipe rashford paundi laki mbili then ukatae kumlipa herrera paundi laki mbili.


hao anaowataka wengi wao hawana tofauti na hao waliopo.
sean longstaff
declan rice
wilson


baada ya kufungwa na everton magoli manne msimu uliopita alisema kuna wachezaji hawatovaa tena jezi ya man utd, cha kuchekesha amewaondoa wachezaji wawili muhimu na kuwabakisha vibasha wa wajukuu wa malikia.
kama lengo lake ni kutushusha daraja basi hatofanikiwa kwa sababu big sam yupo anasubiri kibarua.

View attachment 1225857
Waingereza hakuna vipaji ila kila siku wanapewa mikataba.

How stupid this timu has become.

United kama club kubwa, 90% ya wachezaji hawatakiwi kuwepo pale.

Kwa sasa nadhani Pogba na Bissaka tu ndo wanatakiwa wabaki United. Wengine uza wote hadi huyo James na Maguire.

Uchafu mtupu.
 
teh teh teh
mkuu nimemtaja big sam kwa sababu ndiye mwanadamu asiyeshindwa kuinusuru timu isishuke daraja.
hahahhahaaaaa
tupo vibaya
Ole Gunner asifukuzwe kazi.

Abaki hapo hadi mwisho wa msimu.

Nataka nione United ikishuka daraja.

Kwenye historia ya maisha yangu nione timu ninayoishabikia ikishuka daraja.

Pia, tuone comfortability ya management na owners itakavyokuwa.

Ila mwisho wa msimu timu uvunje mikataba na 90% ya wachezaji, wabaki Pogba, Sergio, DeGea na Bissaka tu.

Ole must stay.
 
Ole Gunner asifukuzwe kazi.

Abaki hapo hadi mwisho wa msimu.

Nataka nione United ikishuka daraja.

Kwenye historia ya maisha yangu nione timu ninayoishabikia ikishuka daraja.

Pia, tuone comfortability ya management na owners itakavyokuwa.

Ila mwisho wa msimu timu uvunje mikataba na 90% ya wachezaji, wabaki Pogba, Sergio, DeGea na Bissaka tu.

Ole must stay.

Bissaka je?
 
Unaloongea ni kweli Management pia ni tatizo, brand ya Man u ni kubwa sana ukilinganisha na wachezaji waliopo, united inahitaji world class players kama 4 hivi angalau iweze kushindana na Liver pamoja na city
Mkuu yan man u anaweza hata badilisha wakaja wachezaj 7 hata 8 tena world class lkn kama huna kocha ambae anajitambua anafny nn na kwa wkt gn basi hata muwe na kikosi kizima kpy team itakosa muunganyiko na itacheza ujinga
 
Hii ndo point ya msingi.. Yan kama team haina philosophy inayo eleweka na kocha mwny mbinu hata wachezaj wawe wazr vipi team haiwez kua na muunganyiko sahihi kwa sbb kocha hana upeo wa kufikiria nje ya box kufny maamuz sahihi kwa wkt sahihi
bahatisha kila kitu lakini sio kocha. liverpool alipooandoka Rafael Benitez timu alipewa Roy Hogson akasajili watu wake mizigo hali ilikuwa tete sana.
akaondoshwa timu akapewa Kenny Dalgish huyu ndio alisajili Suarez, Andy Carrol, Downing, Charlie Adam heka heka tupu.
Akaletwa Brendan Rodgers yeye alianza vizuri lakini alipoondoka Suarez na kusajili Balotelli, Benteke hali tete ndipo akaajiliwa KLOPP.

huyu mjerumani kairudisha timu relini, kikubwa mazee kocha maana kocha ndio anaamua amuuze Lukaku ili ampandishe Rashford, Herera kaondoka free.

maamuzi pekee ni kufukuza kocha lkn baada ya kujua anakuja nani, msije leta Giggs
 
Hatari
Inst-image-21.jpeg
 
Man u tarehe 20,mkipigwa na liverpool mkashuka kule bondeni chin, aisee mtahitaji nguvu kubwa sana kutoka hukoo,

Sijui ole ana mbinu gani za kuipiga liverpool ya sasa, inayowasha moto kila konaa
 
Back
Top Bottom