ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Na pale mbele kane anahitajika mno maana tott hawana future yoyote kwa sasa na mbeleni....wapo wapo tu
kama solskjaer ataendelea kuwepo nakuhakikishia atamsajili mmoja kati ya hao ndugu wawili, unadhani kwa sajili za ovyo kama hizo zitatutoa kwenye dimbwi la dhoruba?
never everkuna muingereza mmoja tu ndiye mwenye uwezo wa kuichezea manchester united na si mwengine ni james maddison.
sijamtaja harry kane kwa sababu bei yake ni ghali sana



