Ahahahahaha mzee baba umeamua kuukubali tu utabiri wangu huu....
Nilishapiga sana kelele humu united ni new ac milan na vile vile united ni new aseno chini ya wenga ambae alikua anakuza vipaji baadae wanasepa kwenda kusaka mafanikio ndio ninachokiona kwa hawa madogo hapo mbeleni....hawatakubali kukaa na timu isiyo na faida
```HIVI kila mtu humu anakumbuka kuwa wakati Man U anamfunga chelsea4-0 mashabiki wakaanza kusema Man U msimu huu itabeba kila kombe! Itabeba EPL, CARABAO, F.A, COMMUNITY SHIELD, UEFA, SERIE A, LA LIGA, LEAGUE 1, BUNDESLIGA, MAPINDUZI CUP, KAGAME CUP, WORLD CUP na COPA AMERICA???
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji.
Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo.
Bora liva atatuhurumia kipigo kikali bao tatu tu. ....ushajiuliza unakutana na pep mpenda sifa kuanzia yeye mpaka wachezaji wake mbona zile sita alizokula fegie zingezidi
Mkuu huyu Ole Soksi nakuhakikishia atafukuzwa kazi kabla ya Christmas msimu ujao............. hakuna kocha hapo zaidi ya kujikombakomba kwa kina Pogba, Rashford tu
Keep the result , draw,lose n repeat that until the end of the season.. we as a fans was very happy of that brilliant performance ,smart strategies by ole.. we cant wait to to see our Manchester going to 2nd division.F*ck Ole