Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3Update :Tumecheza mechi 6 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 2 tumefungwa mechi 2
Tumefunga magoli 8 na tumefungwa magoli 6 na tuna point 8
Liverpool ameshatuacha point 10 ,Man City ametuacha point 5
Ha ha ha.Man u imekuwa kama ACT WAZALENDO haijulikani inataka nini.
Mkuu yule mbona anauzwa £30m , tuliachana nae, summer tuliweka mezan kwa Dayot upemacano wa Leipzig £60m wakachomoa .Mnaeza beba yule left footed, centre back wa bournemouth? Pesa yake tu hamkueza mkaenda kimbizana na wanaotafuta kustaafu!
Mou mambo ya bargain kama jeans za kariakoo hawezi!
Kweli nimeonaIle ni "the Longstaff family"
Herrera kaniuma sana kuuzwa nje ya Epl kwa akili na mzuka aliokuwa akijituma nao Man UtdWaangalie waliowazunguka: kante , willian, jorginho, barkley, kovacic na odoi. Hawa wote wanauzoefu mkubwa na ligi ngumu. Lakin itazame man u watu kamaatic, pogba, herrera, ma wengine ambao ndio wenye uzoefu wanapigwa viata, wengine wameondoka na wengine viwango vimeshuka.
Wakat mnangangana kuwaleta mmojawapo, Pepe mumtoe kwa Mkopo Leeds united kama watamtaka!Mkuu yule mbona anauzwa £30m , tuliachana nae, summer tuliweka mezan kwa Dayot upemacano wa Leipzig £60m wakachomoa .
Luiz tumemchukua kwa ajiri ya short term , now tunafukuzana na Isa diop, Dunk , upemacano hao wote hawapungui £45m nakuendelea .
Mou akija atafanya kazi vzr ,sasa hiv tuna watu wa mpira , Ni kocha tu hatuna ,
Wewe ss umeongea point.. Wa2 weng wanatk eti anaekuja aje na mpr wa Figgie ile ilikua ni era ya Feggie na mpr saiv kadri sik zinavozid kwend philosophy zinakua developed na Man u inahitaj m2 ambae tactical yuko vzr sio hawa wahamasishaji kwakua ni kijana wa nyumbani basi mnampa tu na yy ajipime uwezo wake..kwa ufupi washabik weng wa Man hawatak kuamin lkn kipind wanacho pitia kitakua ni kiref sna bila ubingwa wa ligi ka Cha LiverpoolHaya ni mapito tuu.
Kosa kubwa saana ni swala la watu kuamini kwamba ili man u ifanikiwe inahitaji aje mtu wa kurestore zile philosophy za sir alex. Au mtu mwenye kuijua vema united. Yan mtu anaekuja kuishi chini ya kivuli cha united. Hapo lazima tufeli tuu.
Sir alex alikuwa mjanja mjanja tuu timu inaweza kucheza vibaya na ikashinda alikuwa na average players but anashindana.
Man u inahitaji mtu mpya mwenye pholosophy zake mpya aunde timu upya sio kurudisha old philosophy ambazo haziwork out kwenye modern footbal.
Man u iache tabia ya kuwabeba watu wenye asili ya great britain. Vile alivyo kuwa anaandamwa lukaku ndio hivyo hvyo rashford awajibike.
Tutafute world class coach. Sio makocha wa field kama ole. Yupo kazin wakati yeye bado anasomea mbinu
Wewe hiyo talent ,mbona Leo kacheza vzr ,Wakat mnangangana kuwaleta mmojawapo, Pepe mumtoe kwa Mkopo Leeds united kama watamtaka!
Yupo zake france anaangalia mech ya lille ,anakwambia toka mlivyomtimua kijiwe chake sana ni mech za lille , anakwambia Emery anashindwa kumtumia pepe , maana yeye kamuangalia sanaKwa matokeo haya Man United, Thamani ya Jose Mourinho inazidi kupanda!
Tunahitaji point 6 kushika mkia ambazo ni chache sana.Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
Hii mechi ilikata droo! Kuna dogo mmoja wa Lille, ni striker anaitwa Victor Osimhen nahis anamfatlia, hata mech ya chelsea kafunga pia...kweny ligi yao ana goli 7 kwa mech 9.Yupo zake france anaangalia mech ya lille ,anakwambia toka mlivyomtimua kijiwe chake sana ni mech za lille , anakwambia Emery anashindwa kumtumia pepe , maana yeye kamuangalia sana View attachment 1225377
"It's a journey we've started on and the culture is getting there. I can't give you any time but we're getting there. Huyu jamaa wa Norway anakusudio Naya na hii timu....ngoja tuone tunapoenda
"It's a journey we've started on and the culture is getting there. I can't give you any time but we're getting there. Huyu jamaa wa Norway anakusudio Naya na hii timu....ngoja tuone tunapoenda
Mumfukuze huyu..baada ya mech yenu tutakua nafas ya kule chini kabsaPoleni sana ndugu zangu
Tuko pamoja sana ndugu zetu kwenye hichi kipindi mnachopitia
Sisi kama mashabiki wa liverpool tumeomba mechi ijayo tuwafunge tatu tu ndugu zetu basi itatosha sana !
Poleni sana marafiki
Tena?Nataka abaki mpaka mwisho wa msimu. Tupime uwezo wake halisi.